Ukweli ni kuwa miji hii inauchafuzi mkubwa wa hali ya hewa na msongamano mkubwa, kwanini mtu asichague kuishi Moshi au Dodoma ambapo ni rahisi kusafiri na pia hewa ni safi?4. WASHINGTON D.C
View attachment 3355784
Washington D.C. ni mji mkuu wa Marekani na si sehemu ya jimbo lolote.View attachment 3355783
Linajulikana sana kama kitovu cha siasa na serikali ya Marekani, likiwa na majengo muhimu kama Ikulu ya Rais (White House), Bunge (Capitol Building), na Mahakama Kuu.
View attachment 3355782
Mbali na siasa, Washington D.C. pia ni jiji lenye historia na utamaduni mkubwa, likiwa na makumbusho mengi ya kuvutia, kama vile Smithsonian Museums (ambayo mengi ni bure kuingia), na makaburi ya kihistoria kama vile Washington Monument na Lincoln Memorial.
View attachment 3355781Ni jiji safi, lenye bustani nyingi, na linalovutia watalii kutoka kote duniani.View attachment 3355780
5. LOS ANGELES
View attachment 3355792
Los Angeles (LA) ni jiji kubwa lililoko kusini mwa California, Marekani. View attachment 3355793
Linajulikana sana kama kitovu cha burudani duniani, likiwa na makao makuu ya tasnia ya filamu (Hollywood), televisheni, na muziki.
View attachment 3355790
LA pia ni bandari kubwa, na lina uchumi mseto unaojumuisha teknolojia, biashara, utalii, na mitindo. Jiji hili lina tamaduni nyingi na tofauti, na lina vivutio vingi vya watalii kama vile ufukwe wa Santa Monica, Universal Studios Hollywood, na milima ya Hollywood Hills.
View attachment 3355789
Hata hivyo, LA pia linakabiliwa na changamoto kama vile msongamano wa magari, gharama kubwa za maisha, na masuala ya mazingira.View attachment 3355791
Miji ya usa ipo miongo moja nyuma ya ile ya china ila wabongo hawatakubali na usa yaoNaona raia zimeweka mahaba mbele kuliko uhalisia, Miji mingi ya Uchina imeipiga fimbo miji ya Marekani, lakini hi habari watu wa upinde hawawezi kubali, swala la wachina kukimbilia marekani kuna sababu lukuki zinazo pelekea wao kukimbilia huko, ila hilo halizuii miji ya Uchina kuwa ya kuvutia zaidi kuliko Marekani.
Afu muonekano wa miji yetu ni kama tupo katikati ya vitaNa wenzetu hewa wanayovuta ni safi,sisi huku hewa tunayovuta imejaa uvundo.
Angeenda China maisha yangekuwa magumu mara mbili zaidi.Huyu hapa Roma Mkatoliki yuko Marekani angalia anavyolalamika maisha ya huko.
Vijana wa kibongo mnavyoona movies za Hollywood na videos za music mnafikiri kiwanja life ni jepesi sana
View: https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1917591600483688901?t=PqGJetadExVo7fzFlr3kvA&s=19
Kuliko ubebe box China bora ubebe box Kariakoo.China unaweza kupata kazi ya kupiga box kweli?maana wenyewe tu hata hawa wanaokuja africa hawataki kurudi kwao
Watanzania hawapapendi China ila inawalazimu tu kuagiza au kwenda kuchukua bidhaa nyingi hasa zikiwa za kuchuuza.Kwa wabeba boksi nendeni Marekani
Kwa sisi wafanyabiashara na watu wa shipping fursa iko China.
Wafanyabishara wa Kariakoo China imewafanya kuwa mabilionea
Mkinga au Mchaga wa K/koo na mawinga wao wanapapenda China kuliko Marekani
Mafanikio unayapimaje?China inakupa fursa ya kufanikiwa sio lazima ulowee kwao.
Mtu anayeenda China akiwa na business mindset anafanikiwa haraka kuliko anayeenda Marekani
China means business
Ili kujifariji kidogo kwamba na sisi tuna majiji.Hivi kwanini vijiji vyetu kama Arusha tunaita Jiji?
Kwa sababu credit cards unapata discounts, Wamarekani wana uhakika madeni, credit card ni salama zaidi kwenye manunuzi kuliko debit cards, sio rahisi kutapeliwa, credit cards zinawawezesha kukopa, mabenki ya kukopesha yapo, pesa za kukopesha zipo, riba kwao ni ndogo n.k n.kUlishawahi kujiuliza kwa nini Wamarekani wengi wanaishi kwa credit cards?
China ina homeless wengi kuliko Marekani, pia ina raia wengi zaidi wanaoishi kwenye mabweni kama wanafunzi na majengo yenye vyumba kama mabanda/cages za kuku.Kama maisha mazuri inakuwaje kuna homeless?
View attachment 3356987
California moja hiyo, mwamba akiwa nje ya mjengo wake
Kumbuka population ya China ni mara 5 ya population ya USAWachina wenyewe wanaota ndoto kuhusu marekani, kwa mwaka watu laki mbili kutoka china uenda marekani kusoma, ukiangalia miji ya kichina ni kama artificial vile
πππYemen na Afghanistan huwapeleki hata kwa mtutu wa bundukiWaigizaji wengi wa kichina wakubwa wapo Marekani.
Hata FaizaFoxy na Ritz wanatamani waende Marekani na siyo nchi yoyote ya kiarabu.
Buguruni mokoo, ππππMiji ya wenzetu yote ni misafi lakini angalia ya Tanzania Sasa,unaweza kitapika maana Kila sehemu chemba zinavuja majitaka.
UongoooNaona raia zimeweka mahaba mbele kuliko uhalisia, Miji mingi ya Uchina imeipiga fimbo miji ya Marekani, lakini hi habari watu wa upinde hawawezi kubali, swala la wachina kukimbilia marekani kuna sababu lukuki zinazo pelekea wao kukimbilia huko, ila hilo halizuii miji ya Uchina kuwa ya kuvutia zaidi kuliko Marekani.