Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
What's the point of repeating same thing I've just pointed out?
Start defending your points now sio unakimbia mada kwa kuleta quotation za watu wenye hela.
Tunataka tuone wewe kama wewe una mtazamo gani?
Na vipi kuhusu wananchi wa kawaida, wapi kuna fursa nyingi kati ya China na USA?
And I answered you already. Shida iliyokuwepo ni kwamba tangu nimekujibu hakuna chochote kilichoendelea tena zaidi ya quotation za kina Tim Cook
Soma vizuri comment yangu maana ulichoandika hakikinzani na comment yangu sana sana unasuport.Achana na tafiti za kubumba, wewe mbongo gani wa kawaida umewahi kumsikia au kumuona akitamani kwenda kuishi Dubai kabisa. Hata hao wakina Kusaga na Mo ambao tunaambiwa wamehamishia makazi yao Dubai bado kila siku tunawaona hapa Dar.
Tim Cook na Elon Musk wana uelewa mkubwa kuhusu uwekezaji China kuliko mimi..You provided a wrong answer ndio maana nikatumia quotes za watu waliowekeza China sio wewe mpiga domo hapa JF
Wewe na Tim Cook au Elon nani anaifahamu China vizuri kwenye uwekezaji na fursa za kibiashara?
Tim Cook na Elon Musk wana uelewa mkubwa kuhusu uwekezaji China kuliko mimi..
Unaongea pumbaKingine what do you mean by "Mpiga domo wa JF"?
Why do you keep proving to me that you're an idiot?
Wewe upo humu JF unafanya nini? Instead of trolling people in JF kwa nini na wewe usingeenda ku invest China kama hao kina Elon Musk unaowataja? Why do you keep proving to me that you're an idiot?
Mimi ShenzhenI love Shanghai city personally
Kuvutiwa kwa nini Nimekuuliza juu, kuishi ama kutafuta hela? Dunia hii mtu mwenye akili na exposure Duniani ata chagua Uswisi na Scandinavian countries ama Usa?Miji mizuri zaidi ni ile inayovutia watu kutoka pande nyingi zaidi au zote za dunia kwenda kuishi. Ni ujinga kufikiria watu wengi zaidi watachagua kuja kuishi Dar badala ya California eti kwa sababu ina gharama ndogo kuliko California, watu wachache kuliko California na huduma za msingi.
Haha mkuu naona umeichora ramani kichwani ukikimbia mbele ya gate la white house hapo America.Kwa wale tunaopenda nature na gardening nahisi WASHINGTON panatufaa zaidi pale morning tukipiga jogging karibu na white house, mambo ni safi.
Sure mkuu mwambieni huyo Xi Jinping anazingua bhanaKuna mkuda kaja kuvuruga mada anatukana kama hana akili.
Umedanganya, ingekuwa idadi sawa ya watu na Marekani usingeiona hata kwenye top ten ya nchi zenye gdp kubwa.Ingekuwa population ya China ni sawa na USA, GDP ya China ingekuwa kubwa zaidi.
Niambie wewe sasaSure mkuu mwambieni huyo Xi Jinping anazingua bhana
Acha matusi mkuuNiambie wewe sasa
China ipo chini sana Kwa USA wewe endelea kubisha tu jiulize mijitu ipo bilion 1.41 lakini uchumi inazidiwa na watu milion 340 ni mjinga pekee atayeona china ni Bora kuzidi USANiambie wewe sasa