Ndo maana nime kuambia kuwa uchumi unao tegemea uzalishaji ni muhimu kuliko uchumi unao tegemea kutoa huduma.Mafuta ni muhimu zaidi.
Sijaelewa unataka kusema nini, yaani kwa sababu wewe ni mkulima wa mihogo basi una utajiri wa kweli kuliko daktari?
Hebu wewe zitenganishe inapohusu GDPSerikali ya Marekani (US Federal Government) na Marekani.
Deni la Marekani ni bosheni tu maana liko kwenye currency yao, wakijisikia watachapisha tu dollar nyingi watalipa madeni.
Umesema vyemaUchumi wa China ni mkubwa kwa kutumia kigezo cha PPP, ndo maana marekani wameshindwa kushindana nae kwenye soko huru wanaishia kuweka vikwakwazo. Mtu akiwa na dola 100 china anawwza kuafford vitu vingi zaidi kuliko aliyoko USA mwenye kiasi hicho hicho
Ndio mkuu, printing more money kama debt is denominated in your currency ni njia mojawapo ya kukabiliana na madeni. Zipo njia nyingi ikiwemo na hii mojawapo.Ndio uchumi unavyosema hivyo dawa ya kulipa deni ni kuprint notes zaidi?
Ndio mkuu, printing more money kama debt is denominated in your currency ni njia mojawapo ya kukabiliana na madeni. Zipo njia nyingi ikiwemo na hii mojawapo.
Na madeni yao je?Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD.
Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi
Mchina ana safari ndefu Sana.
Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
Utajiri wa soko la hisa sio lazima uakisi uhalisia wa kilichopo
Wanapenda Marekani sio wachina kapuku, anaeyeenda Marekani tayari anajiweza; huko unakuta wanaenda kwajili ya fursa mpya za kiuchumi na elimu (utakuwaje kiwanda cha uzalishaji wa bidhaa za dunia bila watu wako kwenda hizo nchi kuteka masoko)
Hiyo hela hata kutoka na girlfriend usa huwezi kuthubutu kamweUchumi wa China ni mkubwa kwa kutumia kigezo cha PPP, ndo maana marekani wameshindwa kushindana nae kwenye soko huru wanaishia kuweka vikwakwazo. Mtu akiwa na dola 100 china anawwza kuafford vitu vingi zaidi kuliko aliyoko USA mwenye kiasi hicho hicho
Mwambie waendelee kupirnt hata ongezeko la hiyo trill sijui 30 ni Matokeo ya kuprint na kuongeza inflation akiendele tena uchumi Utafika 40t lakin cha mtema kuni watkiona wamerikaniNdio uchumi unavyosema hivyo dawa ya kulipa deni ni kuprint notes zaidi?
Bleak economic reality ndio mtu achome tens of thousands of dollars atoke China aingie latin America afu atafute winga wakumuingiza kimagendo USA? Huyo mtu ana pesa to make it anywhere else with less moneyHii itakua fake news sio:
Chinese migrants are the fastest growing group crossing from Mexico into U.S. at southern border
A growing number of Chinese nationals, trying to escape repressive politics and a bleak economy, are headed to the U.S. They're turning to a gap at the southern border with Mexico as a way to get in.www.cbsnews.com
Vitu viwili vikubwa.Hebu wewe zitenganishe inapohusu GDP
"Wananchi wa Marekani asilimia kubwa wana uwezo mkubwa wa kiuchumi bila kutegemea serikali. Hivyo, deni la serikali halilifanyi taifa la Marekani kuwa masikini au kuwa na mali feki."
Na wamekaa maofisini hawana ubunifu wowote zaidi yakufikiria madili yakupiga tu!Ukitaka ujue ukubwa wa uchumi wa USA piga picha hii mtu wa kawaida kabisa USA humu ndio pato la DED yani mkurugenzi.
Katafute tena na makampuni yanayo piga pesa mingi afu utuletee hapa na nchi zao kila kampuni.. china kwa US akaze sanaKuna makampuni kadhaa ya China ambayo yana mapato ya juu zaidi kuliko Boeing. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya makampuni hayo pamoja na tofauti ya mapato yao ikilinganishwa na Boeing:
State Grid Corporation of China
Kampuni hii ni ya serikali inayojihusisha na usambazaji wa umeme nchini China. Kwa mujibu wa ripoti za mapato, State Grid ina mapato ya kila mwaka yanayozidi dola bilioni 380, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.
State Grid Corporation of China
Kampuni hii ni ya serikali inayojihusisha na usambazaji wa umeme nchini China. Kwa mujibu wa ripoti za mapato, State Grid ina mapato ya kila mwaka yanayozidi dola bilioni 380, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.China National Petroleum Corporation (CNPC)
CNPC ni kampuni ya taifa inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa mafuta na gesi. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 360, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.
China National Petroleum Corporation (CNPC)
CNPC ni kampuni ya taifa inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa mafuta na gesi. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 360, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.Sinopec Group
Kampuni hii inajihusisha na usafishaji wa mafuta, uzalishaji wa petrochemicals, na usambazaji wa bidhaa za nishati. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 400, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.
Sinopec Group
Kampuni hii inajihusisha na usafishaji wa mafuta, uzalishaji wa petrochemicals, na usambazaji wa bidhaa za nishati. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 400, ambayo ni zaidi ya mara nne ya mapato ya Boeing.China State Construction Engineering Corporation
Hii ni kampuni kubwa ya ujenzi inayotekeleza miradi mikubwa ya ujenzi ndani na nje ya China. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.
China State Construction Engineering Corporation
Hii ni kampuni kubwa ya ujenzi inayotekeleza miradi mikubwa ya ujenzi ndani na nje ya China. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.Industrial and Commercial Bank of China (ICBC)
Benki hii ni mojawapo ya benki kubwa zaidi duniani kwa mali na mapato. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.
Industrial and Commercial Bank of China (ICBC)
Benki hii ni mojawapo ya benki kubwa zaidi duniani kwa mali na mapato. Mapato yake ya kila mwaka yanazidi dola bilioni 200, ambayo ni zaidi ya mara mbili ya mapato ya Boeing.Kwa kulinganisha, Boeing, kampuni ya Marekani inayojihusisha na utengenezaji wa ndege na vifaa vya anga, ina mapato ya kila mwaka yanayokadiriwa kuwa kati ya dola bilioni 80 hadi 100.
Ulisema zidi ya boeng, mbona unahamisha goliKatafute tena na makampuni yanayo piga pesa mingi afu utuletee hapa na nchi zao kila kampuni.. china kwa US akaze sana
Vitu viwili vikubwa.
1. Serikali ya Marekani na wananchi wa Marekani. Wananchi wa Marekani asilimia kubwa wana uwezo mkubwa wa kiuchumi bila kutegemea serikali. Hivyo, deni la serikali halilifanyi taifa la Marekani kuwa masikini au kuwa na mali feki.
Mikopo mingi ya serikali ya Marekani ni kupitia Hatifungani za muda mfupi ambazo serikali ina uwezo wa kupata hela kutoka kwa watu na kuzilipa kwa muda mfupi.
Kuna kipindi, hatifungani za serikali ya marekani zilikuwa zinakupa faida ya -1% na bado wachina walizinunua kwa wingi kwa sababu ni njia nzuri ya kuhifadhi fedha (sarafu ipo stable), tofauti na Tanzania au Kenya ambapo faida ya hatifungani ni kama 12% na bado watu wengi hawazinunui (kwa sababu sarafu haipo stable unaweza kula hasara)..
2. Uwekezaji na mali za serikali ya Marekani nyingi sana. Serikali inamiliki asilimia 30 ya ardhi yote ya Marekani. Pia jeshi la Marekani lina mali nyingi sana za kiuchumi ambazo siyo silaha na likiamua kuziuza litakuwa na matrilioni ya fedha.
Mfano, teknolojia, pia vyanzo vyote vya maji, vipo chini ya Jeshi la marekani (army corps of engineers), hii ni pamoja na mito, bahari, mabwawa na glaciers zote zipo chini ya jeshi.
Hivyo, usichanganye mataifa ya Tanzania na Kenya, ukaja kuweka the same theories kwa taifa kama la marekani when it comes to GDP/Debt ratio.
Bleak economic reality ndio mtu achome tens of thousands of dollars atoke China aingie latin America afu atafute winga wakumuingiza kimagendo USA? Huyo mtu ana pesa to make it anywhere else with less money
Plus.....hilo suala la political repression doesn't make sense maana ikija katika global spy networks hiding as an illegal kama a Chinese national is useless
Mtu mweusi ni mpumbavu sana,hii comment yako inaonyesha jinsi mwafrika alivyo mpumbavu.huwa nashangazwa sana na waafrika wanapoicheka uchina kuwa na uchumi mdogo vs USA, vp khs afrika yenu vs USA? kwa nini mnaiponda China? au wewe ni USA au EU labda? au unajisahau na kufikiri wewe ni mzungu labda? mnasahahu miaka ya 60’ china ilikuwa masikini kama au klk hata afrika yetu, miaka 60 baadaye wameondoa njaa, wameboresha maisha ya watu wao, leo hii ni one of the most important countries duniani, wakati afrika yenu imerudi nyuma, per capital income ya afrika yetu ilikuwa higher wakati wa ukoloni klk leo hii, bado tunahangaika na chakula tu milo 3 kwa siku shida, sijaongelea mambo ya afya au hata makazi lkn bado unacheka Uchina?