USA yaionya Afrika kuhusu Uchaguzi; We will not hesitate to consider consequences

Visa restrictions kwa ajili ya nani??-- mtu mwenyewe hapendi kusafiri sasa hiyo restriction itamuathiri nini??, ni sawa na kumnyima nyama mtu mwenye Allergy ya nyama.🤣
 
Na familia nazo hazisafiri.
 
Tatizo mnajifanya mnajua kumbe zero brain, sasa Trump kaandaliwa huyo au wameamua kumchagua chizi awe Rais?
 
Na familia nazo hazisafiri.

That would be injustice, an innoccent to be punished for somebody fault !!!.

Nadhani haitakuwa hivyo bali wakosefu watawajibishwa individually in accordance to their involvement.
 
Tatizo mnajifanya mnajua kumbe zero brain, sasa Trump kaandaliwa huyo au wameamua kumchagua chizi awe Rais?
Trump akushinda uraisi sema alibebwa sababu ya jenda,ni rais wa hovyo kuliko wote tangu USA iumbwe,ni mzuri kwenye kuongoza biashara na sio kuongoza watu.Arudi tena kipindi cha pili anapigwa chini, democratic wanachukua this time.
 
That would be injustice, an innoccent to be punished for somebody fault !!!.

Nadhani haitakuwa hivyo bali wakosefu watawajibishwa individually in accordance to their involvement.
Muulize bashite, coz familia ni wanufaika wa uovu wa baba kwann wasipinge uovu wa baba.
Mfano osama wapo USA watoto wake baadhi, mtoto wa Gadaffi yupo uswis hata kabla ya kifo Cha baba yake sababu wako against uovu wa baba zao
 
Kwani nani anataka kwenda huko kwao.wajipange na kichaa wao Trump na corona yake
Wanachotaka wao ni uchaguzi huru.mkishindwa nyie mafisadi ccm kihalali mukabidhi madaraka kwa alieshinda.nyie mmekomalia hamuachii,acha wakubwa watusaidie.
Ccm huku mtaani haitakiwi kabisa.
Your browser is not able to display this video.
 
Muulize bashite, coz familia ni wanufaika wa uovu wa baba kwann wasipinge uovu wa baba.
Mfano osama wapo USA watoto wake baadhi, mtoto wa Gadaffi yupo uswis hata kabla ya kifo Cha baba yake sababu wako against uovu wa baba zao
Kwahiyo hawaendi USA na wamekufa? Au wanakosa msosi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…