USA yaionya Afrika kuhusu Uchaguzi; We will not hesitate to consider consequences

USA yaionya Afrika kuhusu Uchaguzi; We will not hesitate to consider consequences

Trump akushinda uraisi sema alibebwa sababu ya jenda,ni rais wa hovyo kuliko wote tangu USA iumbwe,ni mzuri kwenye kuongoza biashara na sio kuongoza watu.Arudi tena kipindi cha pili anapigwa chini, democratic wanachukua this time.
Siyo kigezo cha kuharalisha ushetani wa CCM
 
Kwani marekani wakitoa misaada ya pesa kwa Tanzania huwa masikini wamekwisha kwao?
Linapokuja swala la utaifa hata kama siipendi serikali nitasimama kwa ajili ya taifa, nyinyi ndio mnaotumiwa bila kujijua hakuna mwanasiasa atakayebadirisha maisha yako dawa ni kupambana mwenyewe
 
Muulize bashite, coz familia ni wanufaika wa uovu wa baba kwann wasipinge uovu wa baba.
Mfano osama wapo USA watoto wake baadhi, mtoto wa Gadaffi yupo uswis hata kabla ya kifo Cha baba yake sababu wako against uovu wa baba zao
Bashite alinunua nyumba na kuficha pesa zake marekani vyote vimekwenda kwani hawezi kufika huko tena
 
Linapokuja swala la utaifa hata kama siipendi serikali nitasimama kwa ajili ya taifa, nyinyi ndio mnaotumiwa bila kujijua hakuna mwanasiasa atakayebadirisha maisha yako dawa ni kupambana mwenyewe
Utaifa ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?
 
Pompeo alipigwa pin na papa asionekane Vatican akabaki kulia kulia tu

Amalizane kwanza na Uchaguzi wa USA
Hicho si kigezo cha kukataa ukoloni wa kaburu mweusi tokea chato
 
NEC ya wapi? Ya huyu mahera? Ana akili ya kuelewa kwani? Mwache alikoroge asubiri cha mtema kuni. Jinga kabisa hilo mahera.
Mahera na IGP tayari wana majarada ya ICC mara baada ya uchaguzi watafikishwa ICC The Hague kujibu tuhuma zao
 
That would be injustice, an innoccent to be punished for somebody fault !!!.

Nadhani haitakuwa hivyo bali wakosefu watawajibishwa individually in accordance to their involvement.
hizo ban zinahusu wananchi wote
 
Alieuza madini toka tupate uhuru ni Chadema? Au hata akiri kidogo ya kufikiri Mungu alikunyima
mkuundugu yangu unadhani madini unayauza kwa kupenda? hawa mabeberu wana mbinu chafu na hovyo sana hadi wahakikishe umeingia mkenge, hapa duniani hakuna watawala wanaopitia nyakati ngumu kama hawa wakiafrika maana ukiwa mzalendo watatumia media kukuchafua kwa propaganda, ukiwa nao tegemea kua msaliti wa taifa na fisadi, h8 ndo uhalisia wanaoupitia watawala wa kiafrika
 
Inatakiwa nchi za Ulaya na Marekani zituondelee haya madikteta yote
hivi hao wapumbavu mnaowasujudia kama wangekua wanawapenda wangekuja kuwacolonize na kuwatumikisha vile? alafu hata huo uhuru mlopewa ni uhuru wa pendera wenye masharti tele, inshort kiongozi wa afrika ili usionekane dictator lazima uwafurahishe mabeberu, unadhani akina kagame na mseveni wangekua hawawafurahishi mabeberu unadhani wangekua madarakani leo? beberu hahitaji haki bt anahitaji uwe kibaraka wake, ukiwa kibaraka wake hata ufanye nini atakusitiri
 
hivi hao wapumbavu mnaowasujudia kama wangekua wanawapenda wangekuja kuwacolonize na kuwatumikisha vile? alafu hata huo uhuru mlopewa ni uhuru wa pendera wenye masharti tele, inshort kiongozi wa afrika ili usionekane dictator lazima uwafurahishe mabeberu, unadhani akina mugabe na mseveni wangekua hawawafurahishi mabeberu unadhani wangekua madarakani leo? beberu hahitaji haki bt anahitaji uwe kibaraka wake, ukiwa kibaraka wake hata ufanye nini atakusitiri
Check ulivyo zuzu, Mugabe yupo madarakani na Mseveni umewakumsikia ameenda Ulaya au Marekani? shame on you mpuuzi wewe inamaana sisi hatuelewi maana ya uhuru unaelewa wewe na bibi yako pekee?
 
Babu zetu walikosea sana,

Hawa jamaa wanaasume kuwa maisha yetu hayawezi kwenda bila wao.

Afrika tunahitajika kuhakikisha hili jambo haliendelei.
 
Eti visa! Huyu bwenyenye Pompeo anafikiri mzee Faki wa kisiju anajua mambo ya VISA.

Upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom