USA yaionya Afrika kuhusu Uchaguzi; We will not hesitate to consider consequences

USA yaionya Afrika kuhusu Uchaguzi; We will not hesitate to consider consequences

We are insisting the USA to exercise their words practically! We are tired of selfish African Leaders!
 
Mimi nilishanyimwa viza marekani Mara 3.
Je nilifanya kosa gani nikawekewa vikwazo?
Wapo watu wananyimwa visa kila siku za marekani,,nao wana makosa gani?
Marekani sio peponi,,
Wasitupangie cha kufanya kwa maslahi yao..
Duniani ina sehemu chungu mzima za kula maisha.
Sio lazima marekani,,
Hata kwa kiduku pia ni chaka .
Wasituletee upimbi..
Africa is a free continent..
 
Mimi nilishanyimwa viza marekani Mara 3.
Je nilifanya kosa gani nikawekewa vikwazo?
Wapo watu wananyimwa visa kila siku za marekani,,nao wana makosa gani?
Marekani sio peponi,,
Wasitupangie cha kufanya kwa maslahi yao..
Duniani ina sehemu chungu mzima za kula maisha.
Sio lazima marekani,,
Hata kwa kiduku pia ni chaka .
Wasituletee upimbi..
Africa is a free continent..
Mkuu mie nikienda tu kijijini kwetu ni burdani tosha! Usa kuna nini? Majengo au?
 

Attachments

  • Screenshot_20201009-081957.png
    Screenshot_20201009-081957.png
    28.9 KB · Views: 1
Ni baraka kwa Mungu kunyimwa visa ya kwenda USA lakini umezuia nchi kutumbukia kwa vibaka kina Amsterdam na genge lake la magasho au wazee wa faragha.
Ujinga
 
Huyu nae akanye atulie kama yamembana. Afrika inamuhusu nini sasa. Ya nyumbani kwake yenyewe hayako sawa anakazi kukomaa naya jirani.
 
Trump alituita sisi waafrica shimo la choo,atuache ni mashimo yetu ya choo tunyee.
 
Visa restrictions kwa ajili ya nani??-- mtu mwenyewe hapendi kusafiri sasa hiyo restriction itamuathiri nini??, ni sawa na kumnyima nyama mtu mwenye Allergy ya nyama.🤣
Unawaza visa tu sio ngoja watuonyeshe makali ndio utawajuwa
 
Pompeo alipigwa pin na papa asionekane Vatican akabaki kulia kulia tu

Amalizane kwanza na Uchaguzi wa USA
 
Hakuna Mtanzania anayetaka kwenda USA USA yanauana km kuku
Ttzo sio kuzuia visa,ni kwamba afrika tunawapa gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi sababu ya matumbo ya watawala na wanufaika wachache Kama wewe wa tawala dhalimu zinazovunja haki za binadamu.
USA awaambii watawala wa kiafrica waue watu, wawe wezi, waminye Uhuru wa watu, wakatalie madarakani, waendekeze ukabila udini ukanda yote haya ndio uleta Vita vya wenyewe kwa wenyewe Kati ya wanufaika na wasionufaika.
Kwangu Mimi ni sahihi kwa USA na jumuia za kimataifa zinatakiwa kuziingilia nchi zote zenye Utawala dhalimu ikibidi hata kijeshi ili kuwafurusha watawala waliokosa malezi Bora utotoni wasiojielewa, wanaoumiza watu wao hii itaeupusha vita, then ile pesa ya dunia ya kugharamia wakimbizi itumike kuboresha elimu, tafiti, nk. Ttzo kubwa la afrika ni ukosefu wa mifumo sahihi ya kuaandaa viongozi, afrika viongozi awaandaliwi wanaokotwa.
 
Huo ni uwongo wa Chadema, mjiandae kufutika October


UONGO WA CHADEMA NA TUNAWAONA HAPA MARUHUBI WANAVYOJIANDAA NA KUJENGA UKUTA NA MAJESHI TUNAWAONA ,

UMESAHAU UCHAGUZI WA 2015 JESHI LILIVYOMTEKA JECHA ?? NA KUFUTA UCHAGUZI ???
 
Chadema haijaanza leo kuzusha uwongo, Hussein anakubalika sana visiwani namtabiria ushindi wa 70%
UONGO WA CHADEMA NA TUNAWAONA HAPA MARUHUBI WANAVYOJIANDAA NA KUJENGA UKUTA NA MAJESHI TUNAWAONA ,

UMESAHAU UCHAGUZI WA 2015 JESHI LILIVYOMTEKA JECHA ?? NA KUFUTA UCHAGUZI ???
 
Back
Top Bottom