Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema haijaanza leo kuzusha uwongo, Hussein anakubalika sana visiwani namtabiria ushindi wa 70%
Yah! Kwa mujibu wa Lisu mtu ni mzungu tuSasa wewe babu yako kwani alikuwa mtu? in the real sense of a man to make history
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lisu juzi kapigishwa jua wakaishia kuandamana mitandaoni hadi Lisu mwenyewe akaishiwa nguvu! Akaone ngoja ajifanye house girl akanunue nyanya kariakoo labda atasikika,Imebidi nicheke tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo marekani wanajiona kama duniani hakuna kama wao.Mkuu mie nikienda tu kijijini kwetu ni burdani tosha! Usa kuna nini? Majengo au?
Kumbuka marekani ina washirika wake na hata EU watafuata mkumbo huohuo! Kupanga ni kuchagua.Ni baraka kwa Mungu kunyimwa visa ya kwenda USA lakini umezuia nchi kutumbukia kwa vibaka kina Amsterdam na genge lake la magasho au wazee wa faragha.
Hivi mnaona Visa ni kitu dili saaaaaaan kwamba huwezi ishi bila hiyo takataka. Mimi nasema Marekani haiwezi ishi bila Tanzania. Watanzania wangapi wanazeeka huko hawajawahi fika. Rais tangu aingie madarakani kaenda mara ngapi huko.
Wapambane na corona tu hakuna namna. US wanasema kama vile wao wana perfect systems.
Mimi walioninyima viza Mara 3 mbona kwa hao washirika wake naingia ninavyotaka ktk inchi zao.Kumbuka marekani ina washirika wake na hata EU watafuata mkumbo huohuo! Kupanga ni kuchagua.
Mgeni wenu kakimbia baada ya kile kiingereza cha jana kumchanganya hakutegemea lugha kama ile kutoka kwa mtu mwenye PhdNi baraka kwa Mungu kunyimwa visa ya kwenda USA lakini umezuia nchi kutumbukia kwa vibaka kina Amsterdam na genge lake la magasho au wazee wa faragha.
Huwa nasema kila siku asilimia kubwa ya watanzania wana akili sana, wasichoweza ni malumbano. Likiwa letu kama nchi tutafanya kwa nguvu zote Ila hatukubali kutumika kwa maslahi ya kina amstadam.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lisu juzi kapigishwa jua wakaishia kuandamana mitandaoni hadi Lisu mwenyewe akaishiwa nguvu! Akaone ngoja ajifanye house girl akanunue nyanya kariakoo labda atasikika,
Mbona maneno mengi?Mgeni wenu kakimbia baada ya kile kiingereza cha jana kumchanganya hakutegemea lugha kama ile kutoka kwa mtu mwenye Phd
Umenikumbu ya ukuta piaHuwa nasema kila siku asilimia kubwa ya watanzania wana akili sana, wasichoweza ni malumbano. Likiwa letu kama nchi tutafanya kwa nguvu zote Ila hatukubali kutumika kwa maslahi ya kina amstadam.
Tujikumbushe
Masaa 48, Maandamano ya Mange yaweza kufanikiwa?
Tuliona nguvu ya wachache kwenye mitandao ila wote waliishia kumsaliti mange
Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana
Mambo ya ukimbizi huyajui wao ndiyo wanayatengeneza, wanatoa silaha mkishamaliza kuuana wanakuja na mikataba ya kulipia gharama za silaha angalia Iraki, libya na Syria wananchi wao wamenufaika na niniTtzo sio kuzuia visa,ni kwamba afrika tunawapa gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi sababu ya matumbo ya watawala na wanufaika wachache Kama wewe wa tawala dhalimu zinazovunja haki za binadamu.
USA awaambii watawala wa kiafrica waue watu, wawe wezi, waminye Uhuru wa watu, wakatalie madarakani, waendekeze ukabila udini ukanda yote haya ndio uleta Vita vya wenyewe kwa wenyewe Kati ya wanufaika na wasionufaika.
Kwangu Mimi ni sahihi kwa USA na jumuia za kimataifa zinatakiwa kuziingilia nchi zote zenye Utawala dhalimu ikibidi hata kijeshi ili kuwafurusha watawala waliokosa malezi Bora utotoni wasiojielewa, wanaoumiza watu wao hii itaeupusha vita, then ile pesa ya dunia ya kugharamia wakimbizi itumike kuboresha elimu, tafiti, nk. Ttzo kubwa la afrika ni ukosefu wa mifumo sahihi ya kuaandaa viongozi, afrika viongozi awaandaliwi wanaokotwa.
Amechoka kuongea kwa isharaMbona maneno mengi?
Kakimbia sababu kaona anatumika kisiasa kukandamiza upinzani au sababu ya kingereza? Tushike lipi?
Kwani ziara ilikuwa iwe mpaka lini?
Kwani marekani wakitoa misaada ya pesa kwa Tanzania huwa masikini wamekwisha kwao?Hao Marekani uchaguzi wao umewashinda.mpaka wanalalamika urusi aliuingilia halafu wanataka kusimamia chaguzi zingine