USA yaionya Afrika kuhusu Uchaguzi; We will not hesitate to consider consequences

We are insisting the USA to exercise their words practically! We are tired of selfish African Leaders!
 
Mimi nilishanyimwa viza marekani Mara 3.
Je nilifanya kosa gani nikawekewa vikwazo?
Wapo watu wananyimwa visa kila siku za marekani,,nao wana makosa gani?
Marekani sio peponi,,
Wasitupangie cha kufanya kwa maslahi yao..
Duniani ina sehemu chungu mzima za kula maisha.
Sio lazima marekani,,
Hata kwa kiduku pia ni chaka .
Wasituletee upimbi..
Africa is a free continent..
 
Mkuu mie nikienda tu kijijini kwetu ni burdani tosha! Usa kuna nini? Majengo au?
 
Ni baraka kwa Mungu kunyimwa visa ya kwenda USA lakini umezuia nchi kutumbukia kwa vibaka kina Amsterdam na genge lake la magasho au wazee wa faragha.
Ujinga
 
Huyu nae akanye atulie kama yamembana. Afrika inamuhusu nini sasa. Ya nyumbani kwake yenyewe hayako sawa anakazi kukomaa naya jirani.
 
Trump alituita sisi waafrica shimo la choo,atuache ni mashimo yetu ya choo tunyee.
 
Visa restrictions kwa ajili ya nani??-- mtu mwenyewe hapendi kusafiri sasa hiyo restriction itamuathiri nini??, ni sawa na kumnyima nyama mtu mwenye Allergy ya nyama.🀣
Unawaza visa tu sio ngoja watuonyeshe makali ndio utawajuwa
 
Pompeo alipigwa pin na papa asionekane Vatican akabaki kulia kulia tu

Amalizane kwanza na Uchaguzi wa USA
 
Hakuna Mtanzania anayetaka kwenda USA USA yanauana km kuku
 
Huo ni uwongo wa Chadema, mjiandae kufutika October


UONGO WA CHADEMA NA TUNAWAONA HAPA MARUHUBI WANAVYOJIANDAA NA KUJENGA UKUTA NA MAJESHI TUNAWAONA ,

UMESAHAU UCHAGUZI WA 2015 JESHI LILIVYOMTEKA JECHA ?? NA KUFUTA UCHAGUZI ???
 
Chadema haijaanza leo kuzusha uwongo, Hussein anakubalika sana visiwani namtabiria ushindi wa 70%
UONGO WA CHADEMA NA TUNAWAONA HAPA MARUHUBI WANAVYOJIANDAA NA KUJENGA UKUTA NA MAJESHI TUNAWAONA ,

UMESAHAU UCHAGUZI WA 2015 JESHI LILIVYOMTEKA JECHA ?? NA KUFUTA UCHAGUZI ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…