Siyo kigezo cha kuharalisha ushetani wa CCMTrump akushinda uraisi sema alibebwa sababu ya jenda,ni rais wa hovyo kuliko wote tangu USA iumbwe,ni mzuri kwenye kuongoza biashara na sio kuongoza watu.Arudi tena kipindi cha pili anapigwa chini, democratic wanachukua this time.
Linapokuja swala la utaifa hata kama siipendi serikali nitasimama kwa ajili ya taifa, nyinyi ndio mnaotumiwa bila kujijua hakuna mwanasiasa atakayebadirisha maisha yako dawa ni kupambana mwenyeweKwani marekani wakitoa misaada ya pesa kwa Tanzania huwa masikini wamekwisha kwao?
Bashite alinunua nyumba na kuficha pesa zake marekani vyote vimekwenda kwani hawezi kufika huko tenaMuulize bashite, coz familia ni wanufaika wa uovu wa baba kwann wasipinge uovu wa baba.
Mfano osama wapo USA watoto wake baadhi, mtoto wa Gadaffi yupo uswis hata kabla ya kifo Cha baba yake sababu wako against uovu wa baba zao
Utaifa ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?Linapokuja swala la utaifa hata kama siipendi serikali nitasimama kwa ajili ya taifa, nyinyi ndio mnaotumiwa bila kujijua hakuna mwanasiasa atakayebadirisha maisha yako dawa ni kupambana mwenyewe
NEC ya wapi? Ya huyu mahera? Ana akili ya kuelewa kwani? Mwache alikoroge asubiri cha mtema kuni. Jinga kabisa hilo mahera.
Hicho si kigezo cha kukataa ukoloni wa kaburu mweusi tokea chatoPompeo alipigwa pin na papa asionekane Vatican akabaki kulia kulia tu
Amalizane kwanza na Uchaguzi wa USA
Mahera na IGP tayari wana majarada ya ICC mara baada ya uchaguzi watafikishwa ICC The Hague kujibu tuhuma zaoNEC ya wapi? Ya huyu mahera? Ana akili ya kuelewa kwani? Mwache alikoroge asubiri cha mtema kuni. Jinga kabisa hilo mahera.
Haina uhusiano na udikiteta wa Mkoloni mweusi kaburu tokea chatoWapambane na corona tu hakuna namna. US wanasema kama vile wao wana perfect systems.
Hicho si kigezo cha kukataa ukoloni wa kaburu mweusi tokea chato
Na iwe hivyo.Mahera na IGP tayari wana majarada ya ICC mara baada ya uchaguzi watafikishwa ICC The Hague kujibu tuhuma zao
hizo ban zinahusu wananchi woteThat would be injustice, an innoccent to be punished for somebody fault !!!.
Nadhani haitakuwa hivyo bali wakosefu watawajibishwa individually in accordance to their involvement.
wazee wa faragha hawa ni kina nan?Ni baraka kwa Mungu kunyimwa visa ya kwenda USA lakini umezuia nchi kutumbukia kwa vibaka kina Amsterdam na wazee wa faragha.
Lisu na genge lake la wanachademawazee wa faragha hawa ni kina nan?
Gwajiboy au?
sijawahi kuziona faragha zaoLisu na genge lake la wanachadema
mkuundugu yangu unadhani madini unayauza kwa kupenda? hawa mabeberu wana mbinu chafu na hovyo sana hadi wahakikishe umeingia mkenge, hapa duniani hakuna watawala wanaopitia nyakati ngumu kama hawa wakiafrika maana ukiwa mzalendo watatumia media kukuchafua kwa propaganda, ukiwa nao tegemea kua msaliti wa taifa na fisadi, h8 ndo uhalisia wanaoupitia watawala wa kiafrikaAlieuza madini toka tupate uhuru ni Chadema? Au hata akiri kidogo ya kufikiri Mungu alikunyima
hivi hao wapumbavu mnaowasujudia kama wangekua wanawapenda wangekuja kuwacolonize na kuwatumikisha vile? alafu hata huo uhuru mlopewa ni uhuru wa pendera wenye masharti tele, inshort kiongozi wa afrika ili usionekane dictator lazima uwafurahishe mabeberu, unadhani akina kagame na mseveni wangekua hawawafurahishi mabeberu unadhani wangekua madarakani leo? beberu hahitaji haki bt anahitaji uwe kibaraka wake, ukiwa kibaraka wake hata ufanye nini atakusitiriInatakiwa nchi za Ulaya na Marekani zituondelee haya madikteta yote
Check ulivyo zuzu, Mugabe yupo madarakani na Mseveni umewakumsikia ameenda Ulaya au Marekani? shame on you mpuuzi wewe inamaana sisi hatuelewi maana ya uhuru unaelewa wewe na bibi yako pekee?hivi hao wapumbavu mnaowasujudia kama wangekua wanawapenda wangekuja kuwacolonize na kuwatumikisha vile? alafu hata huo uhuru mlopewa ni uhuru wa pendera wenye masharti tele, inshort kiongozi wa afrika ili usionekane dictator lazima uwafurahishe mabeberu, unadhani akina mugabe na mseveni wangekua hawawafurahishi mabeberu unadhani wangekua madarakani leo? beberu hahitaji haki bt anahitaji uwe kibaraka wake, ukiwa kibaraka wake hata ufanye nini atakusitiri