Usafiri na maoni yangu binafsi juu pahala sahihi pa kuwapeleka machinga ndani ya Dar

Usafiri na maoni yangu binafsi juu pahala sahihi pa kuwapeleka machinga ndani ya Dar

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Naishauri serekali yetu ilitwae eneo lote la shule ya sekondari Benjamin maps hapo kariakoo na pajengwe mall maalumu itakayokuwa na vizimba 5000 vyenye namba za utambulisho maalumu ili machinga wote waliotapakaa mabarabarani waingizwe humo, zoezi hili liende pamoja na kubotesha machinga complex ya zamani ili serekali kwa idadi ya vizimba iweze kukusanya mapato yake endapo labda fedha zitakopwa,baada ya kufanya hili Sasa pawepo na restrictions maalumu juu ya machinga kuzurura nje ya maeneo waliopangiwa,then shule ya Benjamin wanafunzi wake watawanywe katika mashule jirani.
tmp-cam--97560005.jpg
 
#Ushauri na maoni yangu binafsi,mods naomba nirekebishie headings
 
Safi.
Ungeweka na wazo la shule ijengwe wapi sio kutawanya wanafunzi
 
wamachinga washakua bora kuliko elimu tuendelee tu tutafika mbona
Pia elewa mashule kukaa katika ya miji sio busara kabisa kabisa kote ulimwenguni jaribu kuchunguza SHULE HUITAJI UTULIVU WA AINA FULANI,UBISHI WA PUNDA WA CHADOMO HUTUHUITAJI HAPA.
N.B,NDG YANGU AMOS LIFANYIE KAZI HILI.
 
kuna machinga wangapi Dar kuna mwenye Data ?

Na hawa wakipata vizimba watakaokuja kesho na keshokutwa tutahamisha shule, kanisa, msikiti au hoteli gani ?

Dawa ni kuacha kuzalisha machinga.., hayo mengine yote ni kuhahirisha tatizo
 
Baada ya kuwa panga humo ndio maana nikasema sheria Kali zifuatie Ku restrict kizagaa katika mitaa.
 
Waache shule wabomoe TFF wawatafutie eneo pembezoni mwa mji.
 
Baada ya kuwa panga humo ndio maana nikasema sheria Kali zifuatie Ku restrict kizagaa katika mitaa.
Ukiangalia kwa undani hakuna anayependa kuzagaa zagaaa..., kwahio kuliko kuwakusanya hawa wazagaaji na kuwaweka sehemu ambapo wote wanafanya kile kile bila soko la uhakika dawa ni kuhakikisha tunatoka kwenye taifa la wachuuzi na wabangaizaji kuwa taifa la wazalishaji na wanunuzi....
 
Machinga wote waliozagaa Kariakoo wahamishiwe na vibanda vyao kwenye viwanja vya Mnazi mmoja 'wakati tunatafuta pa kuwapeleka'. Wale watakaogoma kuhama, mgambo wafanye kazi yao.
 
Pia elewa mashule kukaa katika ya miji sio busara kabisa kabisa kote ulimwenguni jaribu kuchunguza SHULE HUITAJI UTULIVU WA AINA FULANI,UBISHI WA PUNDA WA CHADOMO HUTUHUITAJI HAPA.
N.B,NDG YANGU AMOS LIFANYIE KAZI HILI.
Kama hii shule ya sekondari ya pamba ya mjini mza Ina eneo kubwa Sana na Ipo mjini. Inatakiwa ihamishwe ipigwe mall moja ya kimataifa. Iwe karibu 50 storeys house.
Huko juu hotels,ukumbi, apartment za kutosha,huku chini kuwe na fremu za biashara mpaka kwenye basement, ikiwezekana mpaka parking ya juu ya ghorofani. Afu shule itahamishiwa pengine. Shule Haina hata uwanja wa mpira.

Huwa hili eneo nalitamani sana.inatakiwa nisajilie kampuni nje afu nchini niwaombe Kama mwekezaje wa nje. Nipafanye pawe Kama mlimani city Mara 50
 
Back
Top Bottom