Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Naishauri serekali yetu ilitwae eneo lote la shule ya sekondari Benjamin maps hapo kariakoo na pajengwe mall maalumu itakayokuwa na vizimba 5000 vyenye namba za utambulisho maalumu ili machinga wote waliotapakaa mabarabarani waingizwe humo, zoezi hili liende pamoja na kubotesha machinga complex ya zamani ili serekali kwa idadi ya vizimba iweze kukusanya mapato yake endapo labda fedha zitakopwa,baada ya kufanya hili Sasa pawepo na restrictions maalumu juu ya machinga kuzurura nje ya maeneo waliopangiwa,then shule ya Benjamin wanafunzi wake watawanywe katika mashule jirani.