Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Pia elewa mashule kukaa katika ya miji sio busara kabisa kabisa kote ulimwenguni jaribu kuchunguza SHULE HUITAJI UTULIVU WA AINA FULANI,UBISHI WA PUNDA WA CHADOMO HUTUHUITAJI HAPA.wamachinga washakua bora kuliko elimu tuendelee tu tutafika mbona
Baada ya kuwa panga humo ndio maana nikasema sheria Kali zifuatie Ku restrict kizagaa katika mitaa.kuna machinga wangapi Dar kuna mwenye Data ?
Na hawa wakipata vizimba watakaokuja kesho na keshokutwa tutahamisha shule, kanisa, msikiti au hoteli gani ?
Dawa ni kuacha kuzalisha machinga.., hayo mengine yote ni kuhahirisha tatizo
Ukiangalia kwa undani hakuna anayependa kuzagaa zagaaa..., kwahio kuliko kuwakusanya hawa wazagaaji na kuwaweka sehemu ambapo wote wanafanya kile kile bila soko la uhakika dawa ni kuhakikisha tunatoka kwenye taifa la wachuuzi na wabangaizaji kuwa taifa la wazalishaji na wanunuzi....Baada ya kuwa panga humo ndio maana nikasema sheria Kali zifuatie Ku restrict kizagaa katika mitaa.
Kama hii shule ya sekondari ya pamba ya mjini mza Ina eneo kubwa Sana na Ipo mjini. Inatakiwa ihamishwe ipigwe mall moja ya kimataifa. Iwe karibu 50 storeys house.Pia elewa mashule kukaa katika ya miji sio busara kabisa kabisa kote ulimwenguni jaribu kuchunguza SHULE HUITAJI UTULIVU WA AINA FULANI,UBISHI WA PUNDA WA CHADOMO HUTUHUITAJI HAPA.
N.B,NDG YANGU AMOS LIFANYIE KAZI HILI.