Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada


Kumbe na wewe una roho mbaya hivyo kama jiwe
 
si vyema kulipa ubaya kwa ubaya.
pole lkn!
 
Sasa usimpishe mwenzio je ukimwona mtoto wa mwanamke mwenzio kapotea kama huyu Beauty si ndo utampoteza zaidi! jamani acha hiyo roho mpendane kama Bwana Yesu alivyotupenda
Acha hizo wewe unajua wenzio kapanda kwenye gari katoka wapi?
Je kama mgonjwa nayeye au kumbe tumboni nayeye kabeba mtoto

Kwanza usiniharibia wakati wangu
 
Huu uamuzi wako nao ni aina ya ujinga. Kwa hiyo wewe usiposaidiwa ndiyo husaidii wengine?!!
 
Hapo sasa
 
Umeona eeh!toka siku mmesimama na mimba mpk km sina nauli ya kuzunguka na gari sipandi...bora nchelewe kuliko kusimama!!
 
Mwanamume yeyote , rijali, jasiri, mwenye kujitambua ,aliepitia jando , ndio anatakiwa ampishe siti mwanamke, awe ana mimba, ana mtoto , mzee , mtu mzima na si kuwashutumu wanawake kwa kutopapisha wenzao ..
 
Umeona eeh!toka siku mmesimama na mimba mpk km sina nauli ya kuzunguka na gari sipandi...bora nchelewe kuliko kusimama!!
Wapo kweli unampisha kwa moyo wote, hao hao wanaume niwadogo kutuzidi sie halafu wenyewe wanashindwa kuwapisha mama zao tukianza kupanda magari hao hao ndiyo wakwanza kutupiga viwiko kukimbilia siti halafu anapanda makumbusho nakushukia Morocco [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mwanamume yeyote , rijali, jasiri, mwenye kujitambua ,aliepitia jando , ndio anatakiwa ampishe siti mwanamke, awe ana mimba, ana mtoto , mzee , mtu mzima na si kuwashutumu wanawake kwa kutopapisha wenzao ..
wanaume hilo sio shida, ila wanawake hata wakiwa wamejaa bus zima. kupishwa ni nadra sana, hasa wadada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…