Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi.

Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo kubwa kwa muda mfupi lakini ukumbana na changamoto kubwa ya hali ya hewa au hitilafu.

Akili yangu inanishawishi niwakumbushe viongozi kufanya uchunguzi maalum kuhusu usafiri huu kabla ya kuutumia. Tanzania ajali za helikopta ni nyingi kuliko ajali za ndege au wakati mwingine ajali za magari zinazohusisha viongozi.

Ndugu zangu wanasiasa kuweni makini sana na usafiri huu hasa tunapoelekea uchaguzi. Tuone namna yakukabiliana na ajali za usafiri huu ambao umeondoa viongozi wa Mataifa tajiri yenye ulinzi mkubwa Duniani.

Yawezekana chopa inalogeka kirahisi kuliko usafiri mwingine? Sizungumzii kulogeka kwa uchawi wa Ndumba bali kulogeka kiteknolojia au kulogeka kimedani za kivita.

Poleni wote mliowapoteza wapendwa wenu kwa chopa.
 
"Kila nafsi itaonja mauti. Na hakika mtalipwa kikamilifu ujira wenu Siku ya Kiyama. Na atakayeepushwa na Moto na kuingizwa Peponi, basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu."

Aya hii inasisitiza ukweli kwamba kifo ni sehemu isiyoepukika ya maisha na kwamba malipo ya kweli ya matendo yetu yatapatikana Siku ya Kiyama. Inahimiza pia umuhimu wa kutafuta mafanikio ya kweli ambayo ni kuokolewa na Moto na kuingizwa Peponi.
 
Helicopter ajali zake zimekuwa nyingi kama bodabodaaa...!! Nadhani kuna poor service na maintanance yakeee kuanzia kina filikunjombe...kobe..mmiliki wa Leicester...general wa kenya now rais wa iran.. SIO USAFIRII SALAMA KABISA.
 
Tuwataje wote maarufu walifariki Kwa ajali ya chopa
Kobe
Boss wa Wagner
Mbunge wa mbarali
Rais wa iran
Mkuu wa jeshi Kenya
Boss wa Wagner ungemtoa kwenye hiyo orodha. Yeye alitegeshewa kilipuzi kwenye ndege yake ya kawaida. Haikuwa chopa.

- Deo Filikunjombe aliyekuwa Mbunge wa Ludewa akiendeshwa na baba yake Jerry Silaa na yeye aliondoka kwa style hii hii.
 
1000121034.jpg
 
Back
Top Bottom