Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

Wengi wenu inaonekana siyo wafuatiliaji kabisa wa matukio mbalimbali Duniani. Mnaona matukio mawili au matatu, mnakimbilia kwenye conclusion ambayo inakuwa siyo ya kweli.

Wakuu wa nchi waliokofa kwa ajali za ndege ni wengi maradufu ya wale waliokufa kwa chopa.

Wakuu wa nchi waliokufa kwa ajali za ndege ni 14:
Jose (Paraguay)
Ramon (Phillipine)
Nereu (Brazil)
Abdul (Iraq)
Humberto (Brazil)
Ahmed (Mauritania)
Jaeme (Ecuado)
Omar (Panama)
Samora (Mozambique)
Habyarimana (Rwanda)
Ciprian (Burundi)
Boris (Mecedonia)
Ryszard (Poland)
Lech (Poland)

Wakati, mpaka 2024, wakuu wa nchi waliokufa kwa ajali za chopa kwa Dunia nzima ni 3 tu.
Tangu lini hii orodha?
 
bado bodaboda itakua ndio usafiri hatari zaidi duniani, lakini usafiri wa anga utaendelea kua usafiri salama zaidi kuliko chombo kingine chochote cha usafirishaji licha ya kwamba athari zake ni mbaya zaidi kuliko chombo kingine chochote cha usafirishaji inapotokea ajali....

bodaboda anaweza baki na mguu moja akipata ajali, ila kwenye usafiri wa anga unaweza vunjika maeneo mbalimbali ,lakini hapo hapo bado ukaungua na moto tena dah, kupona ni nadra sana..

katika yote haya,
tahadhari za kiusalama na umakini ni jambo la maana na muhimu sana kuzingatiwa.

sio unaona kabisaa hali ya chombo au hali ya hewa na mazingira kiusalama si rafiki, kwa vipimo na hata kwa macho tu, eti kwakua wewe ni mwanajeshi unajipiga kifua aah hii mbona kawaida tu, pandeni Twendeni 🐒
Sahihi kabisa
 
Wengi wenu inaonekana siyo wafuatiliaji kabisa wa matukio mbalimbali Duniani. Mnaona matukio mawili au matatu, mnakimbilia kwenye conclusion ambayo inakuwa siyo ya kweli.

Wakuu wa nchi waliokofa kwa ajali za ndege ni wengi maradufu ya wale waliokufa kwa chopa.

Wakuu wa nchi waliokufa kwa ajali za ndege ni 14:
Jose (Paraguay)
Ramon (Phillipine)
Nereu (Brazil)
Abdul (Iraq)
Humberto (Brazil)
Ahmed (Mauritania)
Jaeme (Ecuado)
Omar (Panama)
Samora (Mozambique)
Habyarimana (Rwanda)
Ciprian (Burundi)
Boris (Mecedonia)
Ryszard (Poland)
Lech (Poland)

Wakati, mpaka 2024, wakuu wa nchi waliokufa kwa ajali za chopa kwa Dunia nzima ni 3 tu.
Tukianza kurudi kwa kina Habyarimana aisee mbona sasa Helicopter ndo idadi itaongezeka mara 10...!! Miaka ya 90 hukoo..
 
Boss wa Wagner aliuwawa na Putin kwa mlipuko, helicopter hata haikuanguka yenyewe.
Ukizichambua ajali nyingi za chopa kwa viongozi mbali mbali unaweza hitimisha namna hii.
Dunia ina umafia mwingi sana ambao hatuujui.
Mfano hii ajali ya Rais wa Iran, ni kweli hali ya hewa ilikua mbaya lakini uokozi wa Rais unachukua masaa 8 kuifikia hiyo chopa !
 
Tukianza kurudi kwa kina Habyarimana aisee mbona sasa Helicopter ndo idadi itaongezeka mara 10...!! Miaka ya 90 hukoo..
Hizo nilizozitoa ni takwimu za Dunia kwa miaka yote.

Wakuu wa nchi waliokufa kwa helicopter ni 3 tu, waliokufa kwa ndege ni 14. Ratio ni zaidi ya 1: 4.
 
Hizo nilizozitoa ni takwimu za Dunia kwa miaka yote.

Wakuu wa nchi waliokufa kwa helicopter ni 3 tu, waliokufa kwa ndege ni 14. Ratio ni zaidi ya 1: 4.
unajua ajali ya Iran peke yake imeua viongozi wa kubwa wangapi????
 
Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi.

Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo kubwa kwa muda mfupi lakini ukumbana na changamoto kubwa ya hali ya hewa au hitilafu.

Akili yangu inanishawishi niwakumbushe viongozi kufanya uchunguzi maalum kuhusu usafiri huu kabla ya kuutumia. Tanzania ajali za helikopta ni nyingi kuliko ajali za ndege au wakati mwingine ajali za magari zinazohusisha viongozi.

Ndugu zangu wanasiasa kuweni makini sana na usafiri huu hasa tunapoelekea uchaguzi. Tuone namna yakukabiliana na ajali za usafiri huu ambao umeondoa viongozi wa Mataifa tajiri yenye ulinzi mkubwa Duniani.

Yawezekana chopa inalogeka kirahisi kuliko usafiri mwingine? Sizungumzii kulogeka kwa uchawi wa Ndumba bali kulogeka kiteknolojia au kulogeka kimedani za kivita.

Poleni wote mliowapoteza wapendwa wenu kwa chopa.
Raisi wa US hatumi helicopter??
 
Back
Top Bottom