Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

Nadhani Helkopita zinafaa zaidi kwa shughuli za kijeshi kuliko shughuli nyingine!
Uzuri wake hazihitaji uwanja wa kukimbia wakati wa kutua au kuondoka! Zinatua ko kote!
 
Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi.

Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo kubwa kwa muda mfupi lakini ukumbana na changamoto kubwa ya hali ya hewa au hitilafu.

Akili yangu inanishawishi niwakumbushe viongozi kufanya uchunguzi maalum kuhusu usafiri huu kabla ya kuutumia. Tanzania ajali za helikopta ni nyingi kuliko ajali za ndege au wakati mwingine ajali za magari zinazohusisha viongozi.

Ndugu zangu wanasiasa kuweni makini sana na usafiri huu hasa tunapoelekea uchaguzi. Tuone namna yakukabiliana na ajali za usafiri huu ambao umeondoa viongozi wa Mataifa tajiri yenye ulinzi mkubwa Duniani.

Yawezekana chopa inalogeka kirahisi kuliko usafiri mwingine? Sizungumzii kulogeka kwa uchawi wa Ndumba bali kulogeka kiteknolojia au kulogeka kimedani za kivita.

Poleni wote mliowapoteza wapendwa wenu kwa chopa.
Nimfuatiliaji mzur Sana wa habari nili mnukuu JOSEPHAT GWAJIMA Akisema usafir wa helkopta Ni wa hatar Sana sekunde kadhaa ukisikia alarm ziki toa mlio Mara 3 mfululizo jua Ni kifo...

Helkopta za TANZANIA huwaga siziamini maana tulimpoteza AKUKWETI na baadae DEO FILIKUNJOMBE na Baba ake currently wazir wa ardhi SLAA
 
Kwa kuwa viongozi wa afrika wengi ni mafisadi Bora waendelee kutumia helicopter
 
Back
Top Bottom