johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bakuata ya Julius 🐼Utakufa tu. kikubwa umeondoka katika dunia ukiwa na wa dini gani? hilo swala abalo unatakiwa ujiulize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bakuata ya Julius 🐼Utakufa tu. kikubwa umeondoka katika dunia ukiwa na wa dini gani? hilo swala abalo unatakiwa ujiulize
Watu wanatakiwa wafe hakuna namnaUtakufa tu. kikubwa umeondoka katika dunia ukiwa na wa dini gani? hilo swala abalo unatakiwa ujiulize
Ni sababu ya aerodynamic designs za helicopter, helicopters cant glide. Once ikipata hiyilafu huanguka kama jiweHuu ni usafiri salama na wa uhakika kulinganisha na aina nyingine za usafiri. Changamoto inakuja kwenye ajali kunakua na uwezekano mkubwa wa kutokupona
Ni usafiri mzuri lakini unahitaji proper maintenance. White house mpaka leo ana helicopter ya kumsafirisha rais. Matter of fact viongozi wengi wanazo.Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi.
Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo kubwa kwa muda mfupi lakini ukumbana na changamoto kubwa ya hali ya hewa au hitilafu.
Akili yangu inanishawishi niwakumbushe viongozi kufanya uchunguzi maalum kuhusu usafiri huu kabla ya kuutumia. Tanzania ajali za helikopta ni nyingi kuliko ajali za ndege au wakati mwingine ajali za magari zinazohusisha viongozi.
Ndugu zangu wanasiasa kuweni makini sana na usafiri huu hasa tunapoelekea uchaguzi. Tuone namna yakukabiliana na ajali za usafiri huu ambao umeondoa viongozi wa Mataifa tajiri yenye ulinzi mkubwa Duniani.
Yawezekana chopa inalogeka kirahisi kuliko usafiri mwingine? Sizungumzii kulogeka kwa uchawi wa Ndumba bali kulogeka kiteknolojia au kulogeka kimedani za kivita.
Poleni wote mliowapoteza wapendwa wenu kwa chopa.
mchezaji yule aliyefanyiwa transfer akapotea njiani akitokea Norwich kama sijakosea ni mbrazilia au argentina anaitwa Emilio salaBoss wa Leicester city
Uko sahihiNi sababu ya aerodynamic designs za helicopter, helicopters cant glide. Once ikipata hiyilafu huanguka kama jiwe
Naunga mkono hoja...kila usafiri una risk yake hata baiskeli unaweza ukafariki njiani.Huu ni usafiri salama na wa uhakika kulinganisha na aina nyingine za usafiri. Changamoto inakuja kwenye ajali kunakua na uwezekano mkubwa wa kutokupona
Ndio popote pale mauti yanakupataNaunga mkono hoja...kila usafiri una risk yake hata baiskeli unaweza ukafariki njiani.
Kwa hiyo hata wabudha, shanto, Wahindu nao watachomwa na moto wa Allah?mafanikio ya kweli ambayo ni kuokolewa na Moto na kuingizwa Peponi.
Boss wa Wagner aliuwawa na Putin kwa mlipuko, helicopter hata haikuanguka yenyewe.Tuwataje wote maarufu walifariki Kwa ajali ya chopa
Kobe
Boss wa Wagner
Mbunge wa mbarali
Rais wa iran
Mkuu wa jeshi Kenya
Tuwataje wote maarufu walifariki Kwa ajali ya chopa
Kobe
Boss wa Wagner
Mbunge wa mbarali
Rais wa iran
Mkuu wa jeshi Kenya
bado bodaboda itakua ndio usafiri hatari zaidi duniani, lakini usafiri wa anga utaendelea kua usafiri salama zaidi kuliko chombo kingine chochote cha usafirishaji licha ya kwamba athari zake ni mbaya zaidi kuliko chombo kingine chochote cha usafirishaji inapotokea ajali....Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi.
Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo kubwa kwa muda mfupi lakini ukumbana na changamoto kubwa ya hali ya hewa au hitilafu.
Akili yangu inanishawishi niwakumbushe viongozi kufanya uchunguzi maalum kuhusu usafiri huu kabla ya kuutumia. Tanzania ajali za helikopta ni nyingi kuliko ajali za ndege au wakati mwingine ajali za magari zinazohusisha viongozi.
Ndugu zangu wanasiasa kuweni makini sana na usafiri huu hasa tunapoelekea uchaguzi. Tuone namna yakukabiliana na ajali za usafiri huu ambao umeondoa viongozi wa Mataifa tajiri yenye ulinzi mkubwa Duniani.
Yawezekana chopa inalogeka kirahisi kuliko usafiri mwingine? Sizungumzii kulogeka kwa uchawi wa Ndumba bali kulogeka kiteknolojia au kulogeka kimedani za kivita.
Poleni wote mliowapoteza wapendwa wenu kwa chopa.
Dini ipi inakupa mabikira 72 na mito ya pombe peponi? Mimi ndio dini naitaka hiyo, yani unapiga miti kila siku.Utakufa tu. kikubwa umeondoka katika dunia ukiwa na wa dini gani? hilo swala abalo unatakiwa ujiulize
Al shabab ndo wamehusika?Alshababu hawajasema chochote?
Helicopter ajali zake zimekuwa nyingi kama bodabodaaa...!! Nadhani kuna poor service na maintanance yakeee kuanzia kina filikunjombe...kobe..mmiliki wa Leicester...general wa kenya now rais wa iran.. SIO USAFIRII SALAMA KABISA.
Ndiyo maana nikauliza wana kawaida ya kutoa tamko ikitokea wamehusikaAl shabab ndo wamehusika?
Tangu lini hii orodha?Wengi wenu inaonekana siyo wafuatiliaji kabisa wa matukio mbalimbali Duniani. Mnaona matukio mawili au matatu, mnakimbilia kwenye conclusion ambayo inakuwa siyo ya kweli.
Wakuu wa nchi waliokofa kwa ajali za ndege ni wengi maradufu ya wale waliokufa kwa chopa.
Wakuu wa nchi waliokufa kwa ajali za ndege ni 14:
Jose (Paraguay)
Ramon (Phillipine)
Nereu (Brazil)
Abdul (Iraq)
Humberto (Brazil)
Ahmed (Mauritania)
Jaeme (Ecuado)
Omar (Panama)
Samora (Mozambique)
Habyarimana (Rwanda)
Ciprian (Burundi)
Boris (Mecedonia)
Ryszard (Poland)
Lech (Poland)
Wakati, mpaka 2024, wakuu wa nchi waliokufa kwa ajali za chopa kwa Dunia nzima ni 3 tu.