Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tangu lini hii orodha?Wengi wenu inaonekana siyo wafuatiliaji kabisa wa matukio mbalimbali Duniani. Mnaona matukio mawili au matatu, mnakimbilia kwenye conclusion ambayo inakuwa siyo ya kweli.
Wakuu wa nchi waliokofa kwa ajali za ndege ni wengi maradufu ya wale waliokufa kwa chopa.
Wakuu wa nchi waliokufa kwa ajali za ndege ni 14:
Jose (Paraguay)
Ramon (Phillipine)
Nereu (Brazil)
Abdul (Iraq)
Humberto (Brazil)
Ahmed (Mauritania)
Jaeme (Ecuado)
Omar (Panama)
Samora (Mozambique)
Habyarimana (Rwanda)
Ciprian (Burundi)
Boris (Mecedonia)
Ryszard (Poland)
Lech (Poland)
Wakati, mpaka 2024, wakuu wa nchi waliokufa kwa ajali za chopa kwa Dunia nzima ni 3 tu.
Sahihi kabisabado bodaboda itakua ndio usafiri hatari zaidi duniani, lakini usafiri wa anga utaendelea kua usafiri salama zaidi kuliko chombo kingine chochote cha usafirishaji licha ya kwamba athari zake ni mbaya zaidi kuliko chombo kingine chochote cha usafirishaji inapotokea ajali....
bodaboda anaweza baki na mguu moja akipata ajali, ila kwenye usafiri wa anga unaweza vunjika maeneo mbalimbali ,lakini hapo hapo bado ukaungua na moto tena dah, kupona ni nadra sana..
katika yote haya,
tahadhari za kiusalama na umakini ni jambo la maana na muhimu sana kuzingatiwa.
sio unaona kabisaa hali ya chombo au hali ya hewa na mazingira kiusalama si rafiki, kwa vipimo na hata kwa macho tu, eti kwakua wewe ni mwanajeshi unajipiga kifua aah hii mbona kawaida tu, pandeni Twendeni 🐒
Hata hili tukio Putin atakuwa amehusika kwa % kubwa snBoss wa Wagner aliuwawa na Putin kwa mlipuko, helicopter hata haikuanguka yenyewe.
Tukianza kurudi kwa kina Habyarimana aisee mbona sasa Helicopter ndo idadi itaongezeka mara 10...!! Miaka ya 90 hukoo..Wengi wenu inaonekana siyo wafuatiliaji kabisa wa matukio mbalimbali Duniani. Mnaona matukio mawili au matatu, mnakimbilia kwenye conclusion ambayo inakuwa siyo ya kweli.
Wakuu wa nchi waliokofa kwa ajali za ndege ni wengi maradufu ya wale waliokufa kwa chopa.
Wakuu wa nchi waliokufa kwa ajali za ndege ni 14:
Jose (Paraguay)
Ramon (Phillipine)
Nereu (Brazil)
Abdul (Iraq)
Humberto (Brazil)
Ahmed (Mauritania)
Jaeme (Ecuado)
Omar (Panama)
Samora (Mozambique)
Habyarimana (Rwanda)
Ciprian (Burundi)
Boris (Mecedonia)
Ryszard (Poland)
Lech (Poland)
Wakati, mpaka 2024, wakuu wa nchi waliokufa kwa ajali za chopa kwa Dunia nzima ni 3 tu.
Umensahau FilikunjombeTuwataje wote maarufu walifariki Kwa ajali ya chopa
Kobe
Boss wa Wagner
Mbunge wa mbarali
Rais wa iran
Mkuu wa jeshi Kenya
Ukizichambua ajali nyingi za chopa kwa viongozi mbali mbali unaweza hitimisha namna hii.Boss wa Wagner aliuwawa na Putin kwa mlipuko, helicopter hata haikuanguka yenyewe.
Hizo nilizozitoa ni takwimu za Dunia kwa miaka yote.Tukianza kurudi kwa kina Habyarimana aisee mbona sasa Helicopter ndo idadi itaongezeka mara 10...!! Miaka ya 90 hukoo..
Mkuu Hayo madubwana yanayopita juu siku yakishuka hakuna masalo.Usafiri wa hovyo sana huo. Huwa ninawashangaa sana watumiaji wa usafiri wa aina hiyo. Maana kukitokea tu mushkeri, basi lazima ufe.
Hapana, hawajatoa tamko lolote mpaka sasaNdiyo maana nikauliza wana kawaida ya kutoa tamko ikitokea wamehusika
unajua ajali ya Iran peke yake imeua viongozi wa kubwa wangapi????Hizo nilizozitoa ni takwimu za Dunia kwa miaka yote.
Wakuu wa nchi waliokufa kwa helicopter ni 3 tu, waliokufa kwa ndege ni 14. Ratio ni zaidi ya 1: 4.
Ngoja tusubiriHapana, hawajatoa tamko lolote mpaka sasa
Raisi wa US hatumi helicopter??Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi.
Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo kubwa kwa muda mfupi lakini ukumbana na changamoto kubwa ya hali ya hewa au hitilafu.
Akili yangu inanishawishi niwakumbushe viongozi kufanya uchunguzi maalum kuhusu usafiri huu kabla ya kuutumia. Tanzania ajali za helikopta ni nyingi kuliko ajali za ndege au wakati mwingine ajali za magari zinazohusisha viongozi.
Ndugu zangu wanasiasa kuweni makini sana na usafiri huu hasa tunapoelekea uchaguzi. Tuone namna yakukabiliana na ajali za usafiri huu ambao umeondoa viongozi wa Mataifa tajiri yenye ulinzi mkubwa Duniani.
Yawezekana chopa inalogeka kirahisi kuliko usafiri mwingine? Sizungumzii kulogeka kwa uchawi wa Ndumba bali kulogeka kiteknolojia au kulogeka kimedani za kivita.
Poleni wote mliowapoteza wapendwa wenu kwa chopa.
Boss wa Leicester CityTuwataje wote maarufu walifariki Kwa ajali ya chopa
Kobe
Boss wa Wagner
Mbunge wa mbarali
Rais wa iran
Mkuu wa jeshi Kenya
Mbunge wa Mbarali alikuwa kwenye pikipiki, aligongana na power tiller.Tuwataje wote maarufu walifariki Kwa ajali ya chopa
Kobe
Boss wa Wagner
Mbunge wa mbarali
Rais wa iran
Mkuu wa jeshi Kenya
Akiamguka zigo atasukumiwa ccmCHADEMA na wenyewe wanayapenda sana haya madude! Yaani bora wakakomaa tu na usafiri wa magari au ndege za kawaida.