Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

Nadhani Helkopita zinafaa zaidi kwa shughuli za kijeshi kuliko shughuli nyingine!
Uzuri wake hazihitaji uwanja wa kukimbia wakati wa kutua au kuondoka! Zinatua ko kote!
 
Nimfuatiliaji mzur Sana wa habari nili mnukuu JOSEPHAT GWAJIMA Akisema usafir wa helkopta Ni wa hatar Sana sekunde kadhaa ukisikia alarm ziki toa mlio Mara 3 mfululizo jua Ni kifo...

Helkopta za TANZANIA huwaga siziamini maana tulimpoteza AKUKWETI na baadae DEO FILIKUNJOMBE na Baba ake currently wazir wa ardhi SLAA
 
Kwa kuwa viongozi wa afrika wengi ni mafisadi Bora waendelee kutumia helicopter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…