Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
So now the living are busy discussing and comparing the dead from the same impractical system that keep on bringing us incompetent solutions to our contemporary economic standstill. 🤔🤔🤔Magufuli wanted to be worshipped and he did things at the same time. Nyerere wanted to be worshipped and did nothing.
I don't understand why we didn't occupy mines in Uganda after defeating Amin or at least get a deal on their oil, we only ended up polishing Nyerere's ego with no significant advantage.
Mbona rais amejibu vizuri sana kazi ya kila chanzo! Wewe umebaki ktk swali.Magufuli hakutaka kuumiza wananchi kwa tozo. Samia kaongeza tozo na Kodi anakopa hela za Nini Tena?
Ndugai ana point.
we are not " busy discussing the dead", we are just discussing the past and what could have been. And the system is not impractical, impractical things do not exist only practical do.So now the living are busy discussing and comparing the dead from the same impractical system that keep on bringing us incompetent solutions to our contemporary economic standstill. 🤔🤔🤔
Aki nchi ngumu sana hii.
Ikaunganisha barabara za mikoa yote Tanzania bila ukanda.Nimekupa link ya data zote hapo chini ukitaka kufuata nusunusu wapi?
Awamu ya nne ilitoa deni kutoka $4M mpaka $15.6M
Ilikuta hazina kuna pesa kiasi gani za ndani?
Ilipoondoka iliacha hazina kuna pesa kiasi gani za ndani?
Ilikuta deni la taifa ni kiasi gani?
Ilipoondoka deni lilikuwa kiasi gani?
Pesa ilizokopa ilifanyia nini?
Kila nikifika Dar naitafuta sana Kijazi (Ubungo) Interchange sijawahi kuiona. Hivi ipo kwa wapi??
JK aliimba maisha bora na hakika ubora ulikuwepo.
Ni sahihiWatu walinyanyukia kwake kuanzia biashara, watu wamejenga na kufanya maendeleo makubwa kipindi cha kikwete
Hakika... Kuna watu walinunua viwanja, wakajrenga na kuhamia kwenye nyumba zao kipindi cha JK.Watu walinyanyukia kwake kuanzia biashara, watu wamejenga na kufanya maendeleo makubwa kipindi cha kikwete
Mkuu mbona pale kila nikipita ninachokiona ni elevated highways.Riverside
Mkuu mbona pale kila nikipita ninachokiona ni elevated highways.
Kila nikitafuta interchange sizioni. Naishia tu kuona construction plans za google.
I wish that were the case. But it isn't!we are not " busy discussing the dead", we are just discussing the past and what could have been. And the system is not impractical, impractical things do not exist only practical do.
Mkuu pengine wewe unamaanisha pale makutano ya Sam Nujoma na Morogoro RD.Uje ntakuonesha sawa
Huyu ni kilaza msameheUbungo interchange ni pesa ya world bank , salender bridge ndio pesa ya japan husichanganye
Kajufunze kwanza kuamdika mpuuzi weweJabali la Africa amehiacha nchi ktk matatizo makubwa ya kiuchumi, amekopakopa ovyo na amekwangua na pesa zote za ndani na hakuna hata mladi mmoja alioumaliza. Jiwe limetuachia majanga makubwa sana. Acha mungu aitwe mungu
Ambapo ulikuwa ukipita na sare ya ccm pale kariakoo unazomewa?Hakuna awamu bora na iliyokua nafuu kwa watanzania wengi kama awamu ya 4. Siko kubishana
Kajufunze kwanza kuamdika mpuuzi wewe
USS
Ambapo ulikuwa ukipita na sare ya ccm pale kariakoo unazomewa?
Mnyika: Jk ni rais dhaifu sana.
Anakopa anapeleka ZanzibarMagufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.
Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.