USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

Hawana akili za ki CCM hao! Kwenye maslahi mapana ya nchi huwa yanaungana!
Walimwengu wanaona USAID ina maslahi kwa USA lakini ukweli ni kwamba Walimwengu ndiyo wanaombea isifutwe kwa sababu wana maslahi nayo. USAID imeshiriki kufanya uhalifu maeneo mengi sana duniani ni bora ifutwe tu
 
Hela ni zao na maamuzi ni yao. Wafanye vile wanaona itawapendeza
 
Walimwengu wanaona USAID ina maslahi kwa USA lakini ukweli ni kwamba Walimwengu ndiyo wanaombea isifutwe kwa sababu wana maslahi nayo. USAID imeshiriki kufanya uhalifu maeneo mengi sana duniani ni bora ifutwe tu
Kwani USAID haiwezi kuwa na maslahi pande zote?
Uhalifu gani USAID imefanya duniani?
 
Kwani USAID haiwezi kuwa na maslahi pande zote?
Uhalifu gani USAID imefanya duniani?
USAID imewahi kurun covert mission kwa niaba ya CIA kwenye nchi nyingi ili kupindua serikali au kuunga mkono waasi wajitenge. Hili limetokea maeneo mengi kama Peru ambako waliunga mkono waasi wa jimbo mojawapo nchini humu ili wajitenge. USAID ilitumika kuchochea wananchi Chile hadi serikali ikapinduliwa na kumweka dikteta Pinochet madarakani. Kwa kushirikiana na CIA wamejaribu kupindua Venezuela, Cuba na Russia japo hawakufanikiwa.
Kiongozi wa sasa wa Syria ni mnufaika wa USAID katika kupata madaraka
 
Yaani ni kwamba wamarekani wanakwenda mahakamani kushitaki serikali kwanini ifute misaada kwa nchi za nje au ikoje?
Kwanini hawakwenda mahakamani kuishitaki serikali inayotoa mabilioni ya Dola nje huku kuna Wamarekani bado wana hali ngumu?
This is politics
 
Uongo mtupu, professorial rubbish.
 
Hoja ni kwamba USA walinufaika kutumia misaada kuwa na ushawishi juu yetu hilo wala sio siri na kama umewasikiliza kwanini Trump ana hasira sana na hawa ni kwa sababu Trump wanasema USAID walilemea sana mlengo wa kushoto na kutoa pesa nyingi sana na sote tunajuwa mlengo wa kushoto wamepigia sana debe ushoga kitu Trump kakikataa. Kuna nyuma ya hii kuliko kuwaza misaada tu. Zamani walitumia kupigania democracy kukuwa dhidi ya ushawishi wa Soviet baada ya kwisha imekuwa mpaka ushoga.
 
USAID hawakuwa wanatoa cash bwana tuache hizi porojo walikuwa wanalipia wenyewe kama dawa, kama chakula wale sio IMF au Bank ya dunia wanakupa cash.
 
Kuna $ billion20 na kuna tsh billion20
 
Na mradi gani wa ushoga uliokuwa unafadhiliwa na USAID Tanzania? Ulikuwa unapewa shillingi ngapi? Uliruhusiwaje na serikali ya Tanzania ambayo inapinga ushoga?
 
 

Attachments

  • 20250203_215056.jpg
    52.7 KB · Views: 2
Na mradi gani wa ushoga uliokuwa unafadhiliwa na USAID Tanzania? Ulikuwa unapewa shillingi ngapi? Uliruhusiwaje na serikali ya Tanzania ambayo inapinga ushoga?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waeleweshe kuhusu kitu tunaita KVP, Key vulnerable population. Intervention yeyote inayofanywa kwa KVP’s haimaanishi imelenga mashoga!

Aaaiii my country people!
 
ahahaa naona wajinga wanakomaa na hela za mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…