USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

Kuifuta inahitaji super majority (67 senators), hawana hizo votes, wanachoweza kufanya ni kuinyima funds kuifanya iwe useless, au kwa ubaguzi wao wanaweza allocates pesa zote Ukraine kusaidia wazungu wenzao, Watu waelewe Trump hapendi anything not white
Hela ni zao na maamuzi ni yao. Wafanye vile wanaona itawapendeza
 
Walimwengu wanaona USAID ina maslahi kwa USA lakini ukweli ni kwamba Walimwengu ndiyo wanaombea isifutwe kwa sababu wana maslahi nayo. USAID imeshiriki kufanya uhalifu maeneo mengi sana duniani ni bora ifutwe tu
Kwani USAID haiwezi kuwa na maslahi pande zote?
Uhalifu gani USAID imefanya duniani?
 
20250205_085939.jpg
 
Kwani USAID haiwezi kuwa na maslahi pande zote?
Uhalifu gani USAID imefanya duniani?
USAID imewahi kurun covert mission kwa niaba ya CIA kwenye nchi nyingi ili kupindua serikali au kuunga mkono waasi wajitenge. Hili limetokea maeneo mengi kama Peru ambako waliunga mkono waasi wa jimbo mojawapo nchini humu ili wajitenge. USAID ilitumika kuchochea wananchi Chile hadi serikali ikapinduliwa na kumweka dikteta Pinochet madarakani. Kwa kushirikiana na CIA wamejaribu kupindua Venezuela, Cuba na Russia japo hawakufanikiwa.
Kiongozi wa sasa wa Syria ni mnufaika wa USAID katika kupata madaraka
 
Yaani ni kwamba wamarekani wanakwenda mahakamani kushitaki serikali kwanini ifute misaada kwa nchi za nje au ikoje?
Kwanini hawakwenda mahakamani kuishitaki serikali inayotoa mabilioni ya Dola nje huku kuna Wamarekani bado wana hali ngumu?
This is politics
 
USAID imewahi kurun covert nission kwa niaba ya CIA kwenye nchi nyingi ili kupindua serikali au kuunga mkono waasi wajitenge. Hili limetokea maeneo mengi kama Peru ambako waliunga mkono waasi wa jimbo mojawapo nchini humu ili wajitenge. USAID ilitumika kuchochea wananchi Chile hadi serikali ikapinduliwa na kumweka dikteta Pinochet madarakani. Kwa kushirikiana na CIA wamejaribu kupindua Venezuela, Cuba na Russia japo hawakufanikiwa.
Kiongozi wa sasa wa Syria ni mnufaika wa USAID katika kupata madaraka
Uongo mtupu, professorial rubbish.
 
Mfano Agenda gani za utawala wa Marekani zimeletwa na USAID Tanzania?

Kama ni mwanaume usiyewajibika kwa familia halafu umeenda kuomba msaada kwa tajiri ni sahihi akikuambia nakupa msaada wangu lakini sitaki ukautumie kulewa pombe au kununua malaya, nataka ukalishe familia, kulipa kodi na ada ya watoto. Sioni tatizo hapo.
Hoja ni kwamba USA walinufaika kutumia misaada kuwa na ushawishi juu yetu hilo wala sio siri na kama umewasikiliza kwanini Trump ana hasira sana na hawa ni kwa sababu Trump wanasema USAID walilemea sana mlengo wa kushoto na kutoa pesa nyingi sana na sote tunajuwa mlengo wa kushoto wamepigia sana debe ushoga kitu Trump kakikataa. Kuna nyuma ya hii kuliko kuwaza misaada tu. Zamani walitumia kupigania democracy kukuwa dhidi ya ushawishi wa Soviet baada ya kwisha imekuwa mpaka ushoga.
 
USAID hawakuwa wanatoa cash bwana tuache hizi porojo walikuwa wanalipia wenyewe kama dawa, kama chakula wale sio IMF au Bank ya dunia wanakupa cash.
 
Mwaka juzi tu Urusi ametoka kusamehe deni la zaidi ya $bilion 20 kwa nchi za Afrika ,sasa sijui hizo hela zote walikopa kwa ajili ya Ak47?
Hata hivyo Urusi awasaidie kwani nyinyi hamna mikono ya kufanya kazi kujenga nchi zenu?
Yaani Urusi iwakamue kodi raia wake kwa ajili ya kuwahudumia nyinyi ,hali yakuwa nyinyi kodi zenu mnanunulia,magoli, ma v8 ya mabilion kila mwaka na kuiba kupeleka Uswizi?
Huo upumbavu Urusi hawezi ufanya maana alisha ufanya huko nyuma uka mgharimu na kusababisha soviet kuanguka.
Kuna $ billion20 na kuna tsh billion20
 
Hoja ni kwamba USA walinufaika kutumia misaada kuwa na ushawishi juu yetu hilo wala sio siri na kama umewasikiliza kwanini Trump ana hasira sana na hawa ni kwa sababu Trump wanasema USAID walilemea sana mlengo wa kushoto na kutoa pesa nyingi sana na sote tunajuwa mlengo wa kushoto wamepigia sana debe ushoga kitu Trump kakikataa. Kuna nyuma ya hii kuliko kuwaza misaada tu. Zamani walitumia kupigania democracy kukuwa dhidi ya ushawishi wa Soviet baada ya kwisha imekuwa mpaka ushoga.
Na mradi gani wa ushoga uliokuwa unafadhiliwa na USAID Tanzania? Ulikuwa unapewa shillingi ngapi? Uliruhusiwaje na serikali ya Tanzania ambayo inapinga ushoga?
 
Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.

Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.

JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge lilipitisha sheria iliyoifanya USAID kuwa taasisi huru. Hivyo, kufuta USAID kungehitaji sheria ya Bunge (si amri ya kiutendaji).
 
Attachments

  • 20250203_215056.jpg
    20250203_215056.jpg
    52.7 KB · Views: 2
Na mradi gani wa ushoga uliokuwa unafadhiliwa na USAID Tanzania? Ulikuwa unapewa shillingi ngapi? Uliruhusiwaje na serikali ya Tanzania ambayo inapinga ushoga?
😂😂😂😂 waeleweshe kuhusu kitu tunaita KVP, Key vulnerable population. Intervention yeyote inayofanywa kwa KVP’s haimaanishi imelenga mashoga!

Aaaiii my country people!
 
Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.

Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.

JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge lilipitisha sheria iliyoifanya USAID kuwa taasisi huru. Hivyo, kufuta USAID kungehitaji sheria ya Bunge (si amri ya kiutendaji).
ahahaa naona wajinga wanakomaa na hela za mwanaume
 
Back
Top Bottom