PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Mchangiaji mkubwa wa world bank ni USMwaka Juzi World Bank iliipa Africa $bilioni 72, US iliipa Africa $bilioni 60.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchangiaji mkubwa wa world bank ni USMwaka Juzi World Bank iliipa Africa $bilioni 72, US iliipa Africa $bilioni 60.
Walimwengu wanaona USAID ina maslahi kwa USA lakini ukweli ni kwamba Walimwengu ndiyo wanaombea isifutwe kwa sababu wana maslahi nayo. USAID imeshiriki kufanya uhalifu maeneo mengi sana duniani ni bora ifutwe tuHawana akili za ki CCM hao! Kwenye maslahi mapana ya nchi huwa yanaungana!
Hela ni zao na maamuzi ni yao. Wafanye vile wanaona itawapendezaKuifuta inahitaji super majority (67 senators), hawana hizo votes, wanachoweza kufanya ni kuinyima funds kuifanya iwe useless, au kwa ubaguzi wao wanaweza allocates pesa zote Ukraine kusaidia wazungu wenzao, Watu waelewe Trump hapendi anything not white
Kwani USAID haiwezi kuwa na maslahi pande zote?Walimwengu wanaona USAID ina maslahi kwa USA lakini ukweli ni kwamba Walimwengu ndiyo wanaombea isifutwe kwa sababu wana maslahi nayo. USAID imeshiriki kufanya uhalifu maeneo mengi sana duniani ni bora ifutwe tu
Na wasije kuleta kimdomo mdomo kwenye masuala ya ndani ya nchi nyingine. Tusimsikie balozi wao anatoa matamko ya kuhiusu nchi hii, hawana tena hiyo ticket.Hela ni zao na maamuzi ni yao. Wafanye vile wanaona itawapendeze
USAID imewahi kurun covert mission kwa niaba ya CIA kwenye nchi nyingi ili kupindua serikali au kuunga mkono waasi wajitenge. Hili limetokea maeneo mengi kama Peru ambako waliunga mkono waasi wa jimbo mojawapo nchini humu ili wajitenge. USAID ilitumika kuchochea wananchi Chile hadi serikali ikapinduliwa na kumweka dikteta Pinochet madarakani. Kwa kushirikiana na CIA wamejaribu kupindua Venezuela, Cuba na Russia japo hawakufanikiwa.Kwani USAID haiwezi kuwa na maslahi pande zote?
Uhalifu gani USAID imefanya duniani?
Uongo mtupu, professorial rubbish.USAID imewahi kurun covert nission kwa niaba ya CIA kwenye nchi nyingi ili kupindua serikali au kuunga mkono waasi wajitenge. Hili limetokea maeneo mengi kama Peru ambako waliunga mkono waasi wa jimbo mojawapo nchini humu ili wajitenge. USAID ilitumika kuchochea wananchi Chile hadi serikali ikapinduliwa na kumweka dikteta Pinochet madarakani. Kwa kushirikiana na CIA wamejaribu kupindua Venezuela, Cuba na Russia japo hawakufanikiwa.
Kiongozi wa sasa wa Syria ni mnufaika wa USAID katika kupata madaraka
Hoja ni kwamba USA walinufaika kutumia misaada kuwa na ushawishi juu yetu hilo wala sio siri na kama umewasikiliza kwanini Trump ana hasira sana na hawa ni kwa sababu Trump wanasema USAID walilemea sana mlengo wa kushoto na kutoa pesa nyingi sana na sote tunajuwa mlengo wa kushoto wamepigia sana debe ushoga kitu Trump kakikataa. Kuna nyuma ya hii kuliko kuwaza misaada tu. Zamani walitumia kupigania democracy kukuwa dhidi ya ushawishi wa Soviet baada ya kwisha imekuwa mpaka ushoga.Mfano Agenda gani za utawala wa Marekani zimeletwa na USAID Tanzania?
Kama ni mwanaume usiyewajibika kwa familia halafu umeenda kuomba msaada kwa tajiri ni sahihi akikuambia nakupa msaada wangu lakini sitaki ukautumie kulewa pombe au kununua malaya, nataka ukalishe familia, kulipa kodi na ada ya watoto. Sioni tatizo hapo.
USAID hawakuwa wanatoa cash bwana tuache hizi porojo walikuwa wanalipia wenyewe kama dawa, kama chakula wale sio IMF au Bank ya dunia wanakupa cash.Mfano Agenda gani za utawala wa Marekani zimeletwa na USAID Tanzania?
Kama ni mwanaume usiyewajibika kwa familia halafu umeenda kuomba msaada kwa tajiri ni sahihi akikuambia nakupa msaada wangu lakini sitaki ukautumie kulewa pombe au kununua malaya, nataka ukalishe familia, kulipa kodi na ada ya watoto. Sioni tatizo hapo.
Hujui USAID wanavyofanya kazi.USAID hawakuwa wanatoa cash bwana tuache hizi porojo walikuwa wanalipia wenyewe kama dawa, kama chakula wale sio IMF au Bank ya dunia wanakupa cash.
Kuna $ billion20 na kuna tsh billion20Mwaka juzi tu Urusi ametoka kusamehe deni la zaidi ya $bilion 20 kwa nchi za Afrika ,sasa sijui hizo hela zote walikopa kwa ajili ya Ak47?
Hata hivyo Urusi awasaidie kwani nyinyi hamna mikono ya kufanya kazi kujenga nchi zenu?
Yaani Urusi iwakamue kodi raia wake kwa ajili ya kuwahudumia nyinyi ,hali yakuwa nyinyi kodi zenu mnanunulia,magoli, ma v8 ya mabilion kila mwaka na kuiba kupeleka Uswizi?
Huo upumbavu Urusi hawezi ufanya maana alisha ufanya huko nyuma uka mgharimu na kusababisha soviet kuanguka.
Na mradi gani wa ushoga uliokuwa unafadhiliwa na USAID Tanzania? Ulikuwa unapewa shillingi ngapi? Uliruhusiwaje na serikali ya Tanzania ambayo inapinga ushoga?Hoja ni kwamba USA walinufaika kutumia misaada kuwa na ushawishi juu yetu hilo wala sio siri na kama umewasikiliza kwanini Trump ana hasira sana na hawa ni kwa sababu Trump wanasema USAID walilemea sana mlengo wa kushoto na kutoa pesa nyingi sana na sote tunajuwa mlengo wa kushoto wamepigia sana debe ushoga kitu Trump kakikataa. Kuna nyuma ya hii kuliko kuwaza misaada tu. Zamani walitumia kupigania democracy kukuwa dhidi ya ushawishi wa Soviet baada ya kwisha imekuwa mpaka ushoga.
Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.
Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.
JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge lilipitisha sheria iliyoifanya USAID kuwa taasisi huru. Hivyo, kufuta USAID kungehitaji sheria ya Bunge (si amri ya kiutendaji).
Unadhani wao hawalijui hilo?Kiukweli hapa elon na trump wameyatimba.
Wanaenda kuacha mwanya mpana sana ambao China au Urusi wakiutumia watakua na influence kubwa sana na kucontrol resources za Africa
😂😂😂😂 waeleweshe kuhusu kitu tunaita KVP, Key vulnerable population. Intervention yeyote inayofanywa kwa KVP’s haimaanishi imelenga mashoga!Na mradi gani wa ushoga uliokuwa unafadhiliwa na USAID Tanzania? Ulikuwa unapewa shillingi ngapi? Uliruhusiwaje na serikali ya Tanzania ambayo inapinga ushoga?
ahahaa naona wajinga wanakomaa na hela za mwanaumeHili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.
Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.
JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge lilipitisha sheria iliyoifanya USAID kuwa taasisi huru. Hivyo, kufuta USAID kungehitaji sheria ya Bunge (si amri ya kiutendaji).
Unadhani Musk alikuwa mjinga alipoiita USAID ni criminal organisation?Uongo mtupu, professorial rubbish.