pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Nchi ambazo hawapati hiyo misaada ya USAID wanaishije?Kufa Kwa USAID ni kifo Kwa Tanzania.maana condom tutapata wapi?ARV titapata wap?NIMR itakufa kifo Cha mende,Magari waliyokuwa wanatupa tutayakosa na mengine mengi.Kwa kuwa wa afrika hatuna akili ya kujitegemea,inabidi mama yetu aende marekani kumbembeleza trump asilifute hili shirika letu.
Kiongozi hakuna cha bure.. huwa tunapigwa sana.. free aid... ni usanii mtupu... Loliondo imeenda.. wamasai wanaondolewa... Ukitaka kula Ukubali kuliwa...Alisikika akisema...Kwa hiyo kumbe hakuna cha bure sio
Why not? Ile executive order inampa hiyo nguvu ukizingatia hata mabunge kayashika yeyePesa za tax cuts kwa mabilionea lazima zipatikane, lakini Trump hana uwezo wa kuiua USAID , only Congress ndio wanaweza, anaweza freeze funds zao kwa muda na kufukuza wafanyakazi au kufunga operations zao kwa muda tuu
,,π€£Zile chandarua za bure tulizokua tunafugia kuku bye bye
Tramp amekuwa na ushawishi mkubwa sana.Why not? Ile executive order inampa hiyo nguvu ukizingatia hata mabunge kayashika yeye
Shirika la wakimbizi nalo limefanyaje kiongozi.?Naomba wasitishe na mikopo
Maana wakisema tunaweka riba ya π― mtachukua kwa sababu hamjali
Trump anajua kuna wazungu wanafaidika na miradi hii na wanaiba haswa
Sio kuwabana nyie tu bali anakata mirija ya wakubwa
Ila sidhani kama watamuacha salama
Ila kwa sasa anapiga mule mule na shirika la wakimbizi chali
Mkaroge sasa
Maseneta ambao ni wanufaika wa USAID kupitia mlango wa nyuma....Elon keshaanika madudu Yao na wameufyata tayari.Hawezi! Kwa muda sawa anaweza kuzuia lakini siyo kuiua! Maseneta tayari wameshaanza kujipanga kumblock!
Sio kila NGO inapata pesa USAID.Naomba wasitishe na mikopo
Maana wakisema tunaweka riba ya π― mtachukua kwa sababu hamjali
Trump anajua kuna wazungu wanafaidika na miradi hii na wanaiba haswa
Sio kuwabana nyie tu bali anakata mirija ya wakubwa
Ila sidhani kama watamuacha salama
Ila kwa sasa anapiga mule mule na shirika la wakimbizi chali
Mkaroge sasa
Wanatumia rasilimali zao kununua mfano Msumbiji.Nchi ambazo hawapati hiyo misaada ya USAID wanaishije?
ARV na condom kwani haziuzwi?
USAID ndio inatoa misaada ya kiufundi na ufadhili wa kiuchumi kwa NGO"sSio kila NGO inapata pesa USAID.
Nayo amefunga misaada kwa muda wa siku 90Shirika la wakimbizi nalo limefanyaje kiongozi.?
πππZile offer za bia za mshikaji aliyekuwa anafanya kazi hapo sasa zimekufa rasmi
Una wasiwasi watamuondoka kama John F KennedyNayo amefunga misaada kwa muda wa siku 90
Yaani anapiga ndani na nje
Mzee hili rungu aliloshika sijui kama watamuacha
Kuna mwehu atamshughulikia aisee
Nachokueleza ndio uhalisia, UNHCR utaendelea kuwaona na NGOs nyingine nyingi sana.USAID ndio inatoa misaada ya kiufundi na ufadhili wa kiuchumi kwa NGO"s
Na pia wanawapa fedha pia
USAID inafanya shughuli nyingi sana Mkuu
Mtegemea Cha nduguye . ....Sawa mzee ila ndio waliokuwa wanafadhili mpaka issue za Malaria, TB na kadhalika
Hii labda sbb ya wakimbiziNachokueleza ndio uhalisia, UNHCR utaendelea kuwaona na NGOs nyingine nyingi sana.