USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Urusi ana uafadhari, lakini sio china,...
 
Nguo ya kuazimia………… mmoja amalizie
 
Dah.. kweli mtegemea cha nduguye ufa masikini..
Yaani hatupati tena fedha hizo.
 
Mbona wale wagonjwa wa 90s walishindwa kupandisha kinga zao wenyewe, wakawa wanakauka kama mti uliopigwa radi.
Umasikini na ugonjwa ni vitu viwili tofauti.., hiyo lishe unatoa wapi wakati hata milo miwili tu ya makande kwa siku ni shida?

- Hivi unafahamu kwamba Ukimwi (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa yanayosababishwa na kushuka kwa kinga mwilini? Mfano T.B

- Unafahamu kwamba magonjwa hayo yote yana tiba kamili zinazofahamika?

- Unafahamu kwamba mtu anaweza kupata magonjwa hayo bila hata kuwa na upungufu wa kinga mwilini? (Ukimwi?)

- Unafahamu kwamba magonjwa mapya yaliyo ndani ya kundi hilo yalipngezeka baada ya matumizi ya ARVs, nayo ni Kufeli ini, kufeli figo, na kufeli Moyo?
 
Wamefilisika au wanatukumbusha kuwa wao ndio baba?
 
Jibu swali langu mkuu, nimeuliza swali moja umekuja na matatu-manne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…