USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Kukiua kirusi kinachosababisha ukimwi ni sawa na kuua Cell inayokupa uhai ni impossible
Hakuna funding ya kutosha inayoelekezwa huko sababu mtu akipina na mapato yanaishia hapo, ila akiendelea kutumia dawa maisha yane yote faidi inakuwa kubwa.

Ni hivi, kuna dawa ambazo zinaweza kutumika kama bait kumtoa kirusi ndani ya seli hai, akitoka tu kinamezwa.., hii inawezekana, tatizo ni faida itapungua.., hivyo tiba haipewi msukumo
 
ile kiko yenye ugoro sio 😌
Kumbe unajua Mjukuu, niletee hiyo hiyo nivute vute kabla sijaenda Kulala

Ukitaka nikupe hadithi za Mwaka 47, wakati navuta nitaweza kukupatia sasa πŸ€—
 
Kumbe unajua Mjukuu, niletee hiyo hiyo nivute vute kabla sijaenda Kulala

Ukitaka nikupe hadithi za Mwaka 47, wakati navuta nitaweza kukupatia sasa πŸ€—
Hebu kalale hukoπŸ˜‚πŸ˜‚
 

Hizi ni sera za Trump za kubana matumizi na kuifanya America iwe super power tena, hawezi kuwa Rais wa milele...
 
Safi sana bwana trump. Tunyooshe sie manyani tusiokuwa na akili haa duniani. Yaani trump wee kandamiza kabisa mwanawane
 
Safi sana,wakati tunampigia debe Kamala,mkasema mwanamke hafai kuongoza kabisa,sasa jiandaeni kuanguka kwa H..IV na kufa kama kuku wa kideri
Tukikuzua hutumia Jamii Forum unadhani ww utakosa mtandao mzuri WA kutumia
 
Hizi ni sera za Trump za kubana matumizi na kuifanya America iwe super power tena, hawezi kuwa Rais wa milele...
Ndiyo lakini athari zake zinaweza kuwa kubwa ndani ya muda mfupi

Unakumbuka ule Ukimwi wa miaka ya 2000 mwanzoni ulivyoua Kwa Kasi?

Yaani mtu anakatika hivi hivi unamwona πŸ™Œ
 
Hizo hizo Mjukuu, mabinti/wa Mama waache hayo mambo

Kwa maana mabinti wengi ndiyo biashara wanayoitegemea kuwaweka Mjini
Basi babu nawaombea msamaha kina P cats wote, wamekusikia watayaishi maneno yako 😹😹
 
Muda huu sio rahisi, njoo tuongee ongee wakati navuta Kiko yangu Mjukuu πŸ€—
πŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈ Trump kajitoa who
 
Basi babu nawaombea msamaha kina P cats wote, wamekusikia watayaishi maneno yako 😹😹
Wajifunze Kwa sisi Wazee, waone tulivyotulia huku tukiwa busy kwenye shughuli zetu za Kilimo πŸ€—
 
Hahahaha................si unajua Wazee tusivyo na mambo mengi

Hebu njoo nikusimulie mambo yalivyokuwa wakati wa vita vya pili vya Dunia 😜
 
Tuache kubweteka na Vitu vya kupewa bure. Tujifunze kujitegemea. Serikali ianze kubana matumizi. Iondoe au kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…