Na ukute ukipangiwa kituo na mkuu wa kituo nae akawa na mtihani wakwake yaani hela unaitafuta kwa kugaragazwa kwelikweliYani una mitihani NECTA STD 7, FORM 2. FORM 4. FORM 6, HALAFU ILE YA VYUONI..BADO TENA MITIHANI YA KUOMBA AJIRA..duh
Sawa mkuu nitakushukuru sana na mishe zikitiki atakupa salamu zanguSawa mtaalam nitafisha salamu.
Kwamba nyuzi za humu zinazosema Interview kumfanyisha mtu aliyethibitishwa na MCT ni kumkosea, hujaziona?h
hakuna anayepinga interview, usipotoshe Mwifwa!
Nipo navizia hizi Interview ziishe ili nivute mfanyakazi aende kwa goli la Boss wangu fulani hivi.Wenye vituo binafsi watakua majeuri zaidi sasa
Kwamba aliyeongoza ni Binti?Hongera Binti E Kwa kuongoza vyema. Umeiwakilisha vyema Dar es salaam
NdioKwamba aliyeongoza ni Binti?
Kila la kheri kwake, amejitahidi.Ndio
Kweli kabisaKo kwa ule mfumo wa zoa zoa na bahati nasibu ingewezekana huyo mwamba alofunga dimba angepata placement half huyo Janabi mtoto alopata 98 angekosa placement?
Kwakweli PSRS wametutoa gizani,Mwakani waboreshe zaidi waongeze na practical😂😂😂
Kichaa ndo mwenye kiburi,walioitwa kwenye usaili ni zaidi ya elfu 8 wakati nafasi zipo 1000+ halafu unavuta mdomo😁Nipo navizia hizi Interview ziishe ili nivute mfanyakazi aende kwa goli la Boss wangu fulani hivi.
Kwa sasa ukiwacheki wanazingua kisa hizi nafasi, watakaotemwa na hizi Interview hawatakuwa na kiburi cha kuchagua vijiwe
Wengine wanasema ni jamaa alisoma dip kibaha na sasa yupo MD 2Ndio
Sasa kama ni MD 2 akipata nafasi ya kazi ataacha kusoma kwanza?Wengine wanasema ni jamaa alisoma dip kibaha na sasa yupo MD 2
Ana postpone then anaenda huko kama ataongea vizuri na wakubwa watruhusu akamalizeSasa kama ni MD 2 akipata nafasi ya kazi ataacha kusoma kwanza?
Wakubwa wa TAMISEMI, any way apambane tu. Kibunda kwanza masomo baadaeAna postpone then anaenda huko kama ataongea vizuri na wakubwa watruhusu akamalize
Tayari kimewaka. Leo kuna watu hawatalala. Asante kwa updatesUzi huu utumike kutoa updates za matokeo yote ya saili za afya zinazofanyika Tanzania kote ili kuepusha duplication ya nyuzi na hivyo kuokoa matumizi ya server za bwana Maxence Melo.
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) MDA's & LGA's ULIOFANYIKA TAREHE 03 SEPTEMBA, 2024
Aisee bongo kuna vikwazo aisee.msuli msuli mpaka upate kaz ndo unapumzika.Tz changamoto.Yani una mitihani NECTA STD 7, FORM 2. FORM 4. FORM 6, HALAFU ILE YA VYUONI..BADO TENA MITIHANI YA KUOMBA AJIRA..duh
😃 Sasa hapo ni ubaya ubwela.Na ukute ukipangiwa kituo na mkuu wa kituo nae akawa na mtihani wakwake yaani hela unaitafuta kwa kugaragazwa kwelikweli
Namna hii ndio watu wanafocus na mishe zingine mapema, kuliko na kuwa na hope ya muda mrefu kwenye zoa zoa halafu unakuja kukosa nafasiUzi huu utumike kutoa updates za matokeo yote ya saili za afya zinazofanyika Tanzania kote ili kuepusha duplication ya nyuzi na hivyo kuokoa matumizi ya server za bwana Maxence Melo.
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) MDA's & LGA's ULIOFANYIKA TAREHE 03 SEPTEMBA, 2024