Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

Ko kwa ule mfumo wa zoa zoa na bahati nasibu ingewezekana huyo mwamba alofunga dimba angepata placement half huyo Janabi mtoto alopata 98 angekosa placement?

Kwakweli PSRS wametutoa gizani,Mwakani waboreshe zaidi waongeze na practical😂😂😂
Kweli kabisa
 
Nipo navizia hizi Interview ziishe ili nivute mfanyakazi aende kwa goli la Boss wangu fulani hivi.

Kwa sasa ukiwacheki wanazingua kisa hizi nafasi, watakaotemwa na hizi Interview hawatakuwa na kiburi cha kuchagua vijiwe
Kichaa ndo mwenye kiburi,walioitwa kwenye usaili ni zaidi ya elfu 8 wakati nafasi zipo 1000+ halafu unavuta mdomo😁
 
Hapo wanaanza upya tu, mikakati mingine kabisa, ni kawaida wa mwisho kuwa wa kwanza au wa kwanza kuwa kwanza tena.
 
Uzi huu utumike kutoa updates za matokeo yote ya saili za afya zinazofanyika Tanzania kote ili kuepusha duplication ya nyuzi na hivyo kuokoa matumizi ya server za bwana Maxence Melo.

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) MDA's & LGA's ULIOFANYIKA TAREHE 03 SEPTEMBA, 2024
 
Attachments

Tayari kimewaka. Leo kuna watu hawatalala. Asante kwa updates
 
Uzi huu utumike kutoa updates za matokeo yote ya saili za afya zinazofanyika Tanzania kote ili kuepusha duplication ya nyuzi na hivyo kuokoa matumizi ya server za bwana Maxence Melo.

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) MDA's & LGA's ULIOFANYIKA TAREHE 03 SEPTEMBA, 2024
Namna hii ndio watu wanafocus na mishe zingine mapema, kuliko na kuwa na hope ya muda mrefu kwenye zoa zoa halafu unakuja kukosa nafasi
 
Back
Top Bottom