secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Pimbi babaakopimbi kweli wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pimbi babaakopimbi kweli wewe
Najua umeongea tu katika ule muktadha wa matani ya ukabila.Taasisi ya kiintelijensia ya uingereza ilifanya utafiti kuhusu watu wanaofaa kuwa viongozi na wenye IQ,Tanganyika, wa morogoro walionekana ni hovyo kabisa, wakapewa kazi ya kukata mkonge
Maendeleo ati wanasema alivumilia sana wakati uleee???!!!!Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood.
View attachment 1972491
Tutafute hela wakuu.
300 pamoja na ww [emoji16]Abood ana mabasi zaidi ya 300 unashangaaje hayo20
ChaiHumjui abood wewe,utakuwa umezaliwa juzi,kila nusu saa kuna gari inatoka msamvu kuja dar na dar kwenda moro,bado route za mikoa bado yanayokodishwa,reserve na yaliyo service
Yameletwa kuziba pengo la yanayopinduka sio?
Alikua ana mchambaaa ila kwenye ubunge anapitisha jina lake ili agombee.na anahakikisha ametangazwa mshindi hata kwa mtutu wa bundukii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Kiboko yake kafariki. Magu alikuwa anamchamba Nassoro Abood anavyotaka. Ikiwemo lile la kutoa mabasi kupeleka watu misibani huku viwanda kaua.
Hapo sasa nimepata jibu!!Huwezi kukutana nazo hizo ni kilombero baadae akaleta za kuishia Morogoro mjini lakini siku hizi hazionekani kabisa sidhani kama hata huko kilombero zipo!!
We ni maskini jeuriHuu msemo wa tutafute mbona mnaukuza sana.. mf; mimi sihitaji hzo pesa na naishi vyema and comfortable
Tafakari, chukua hatua
Before and after
sema humjui ujulishweNinaemjua mimi ni Abdulaziz Abood huyo Nasoro abood ni wako
Watu mnaopenda kulakula bana dah....3 hrs journey unalilia bites...usikute naongea na under18 hapaHivi hujioni hapa unampangia mtu cha kufanya au namna ya kuishi? Unajua ninahitaji nini katika hizo bites? Ni safari zote huwa zina maandalizi? Halafu, hii si mimi ninaanzisha, ni utaratibu upo, sema hapa nilikuwa ninapendekeza kuboreshwa kwa huduma tu. Yani bado upo kibongolala hivi kudhani unayofikiria ndiyo ulimwengu ulivyo? Eti huwezi kuvumilia, kwanini uvumilie? Kwa faida ya nani, wewe au Abood?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule Mungu katuepusha na balaa kubwa sana kumtoa hapa duniani.Alikua ana mchambaaa ila kwenye ubunge anapitisha jina lake ili agombee.na anahakikisha ametangazwa mshindi hata kwa mtutu wa bundukii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Akili ya mwendazake banaaa
Hamna, ni suala la uwezo wa kutafakari tu. Kuna watu pengine kwa mchango wa vinasaba au mazingira, uwezo wao ni mdogo sana wa kutafakari. Shida yao kubwa ni kule kudhani vile anavyoishi ndiyo ulimwengu ulivyo.Asijue maisha ni complex.Watu mnaopenda kulakula bana dah....3 hrs journey unalilia bites...usikute naongea na under18 hapa
Zakaria kwisha habari yakehuyo super feo kashika ruti za nyanda za juu.
ni kama abood kumuona njia ya dar moro
na shabby kumuona dar dom.
na kama zakaria alivyoshika njia ya tarime huko.
ki, uhalisia kwenye top 5 ya makampuni super feo anaingia ana mgari mengi sanaa.
ila kwa kuwa upo dar huwezi yaona.
balaa lake. linaanzia
iringa, mbeya, njombe, ruvuma huko kote basi zake ni kama abood kwa huku dar.
Punguza ubishi kama huna research.
pengine nyanda za. juu hujawahi kufika.
nikikuambia musukuma. ni tajiri wa magari na amehodhi njia nyingi kwao. kahama huwezi elewa.