Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Jiongeze kidogo basi, au wewe ni product wa hii elimu yetu iliyologwa nini? Maana kizazi cha shule hizi ni majanga.

1. Umeona hapo sikutaja ugali wala makande, nimesema bites. Hilo umeshindwa kuona inamaanisha nini?

2. Haya, umetoka Moro na gari ya kwanza. Yani ukae mdomo unanuka na njaa mpaka Dar kisa kuna mtu kama wewe anasema safari ya saa tatu huhitaji kula? Siku hizi chai unauziwa kwenye kibobo chako safi, unaingia nacho garini.

3. Kwahiyo, ushawaza na kuona kuwa ulionao wote ndani ya gari mpo sawa. Wamekula kama wewe, wanajisikia haja kama wewe n.k. na hivyo,vile unajisikia wewe,abiria wote wanajisikia hivyo.

Ninadhani hapa umeathiriwa na mawazo yetu yale ya kudhani unachowaza wewe ndiyo ulimwengu. Walimwengu hatupo sawa kama ulivyokariri. Aidha, maisha yamebadilika, mengine tuliyafanya sababu ya kukosa uwezo, fursa na sehemu za kufanya haya. Mwaka 80 si sawa na 2021.

Tafakari, chukua hatua
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msamehe hakusoma kilichomo ndani ya uzi
 
Una haki ya kushangilia ila umo ukipanda kwenda dar utalipa nauli ila ukifa wewe na familia yako kwa kunywa maji machafu ya mtoni kwa sababu umekosa maji safi na salama yale mabasi mengine ya zamani yatakubeba bure kukupeleka kola ukazikwe.
Ww mluguru wa wap aisee wakati waluguru huwaambii kitu kuhusu Abood utadhani ni mluguru mwenzao,mluguru hapandi basi lingine zaidi ya Abood
 
Una haki ya kushangilia ila umo ukipanda kwenda dar utalipa nauli ila ukifa wewe na familia yako kwa kunywa maji machafu ya mtoni kwa sababu umekosa maji safi na salama yale mabasi mengine ya zamani yatakubeba bure kukupeleka kola ukazikwe.
Taasisi ya kiintelijensia ya uingereza ilifanya utafiti kuhusu watu wanaofaa kuwa viongozi na wenye IQ,Tanganyika, wa morogoro walionekana ni hovyo kabisa, wakapewa kazi ya kukata mkonge
 
Nadhani ni Moro Best ndio walikuwa washindani wa Abood, pia kuna kampuni ya Hood sijui imefia wap
Huyo Bw. Mdogo Francis fares Maro keshanikumbusha...

Basi ambalo nazungumzia lilikuwa Sadiq...

Anyway, inawezekana yalikuwa mengi lakini wakati ule ninayokumbuka zaidi yalikuwa Abood, Islam, Sadiq, pamoja na Hood!!! Ilipoanza kutumika Msamvu siku za mwanzoni, nakuwa napendelea sana Islam kwa sababu walikuwa wanaenda ku-park home kwao, kwahiyo mtu unaunga tela toka Msamvu hadi "town"!
 
Moro best route yake kubwa ilikua Kilombero/Dar Mimi nimepanda Moro best tokea akiwa na DCM wakati huo inatoka Kilombero saa 10 alfajiri inafika Dar saa 4 na inageuka saa 7 mchana!!..
Hizi Moro Best ingawaje ni maarufu sana, binafsi sizikumbuki kabisa sijui nilikuwa napishana nazo wapi kama zilikuwepo by the time!

Anyway, tatizo ni kwamba, Morogoro kwenyewe nimeenda zamani sana... Safari zangu 2 za mwisho zilikuwa 2003 na 2006, kwahiyo nina almost 15 years sijafika pande hizo!!
 
Leo mji was Morogoro umemeremeta, Mabasi 20 yameingia kwa wakati mmoja, Samia kafungua uchumi, matajiri hawaogopi tena kufungua fursa kwa vijana kuajiriwa, hii ni baada ya Aboud Bus kushindwa kuingiza basi mpya tangu Magufuli awe Rais, kipindi cha Magufuli kampuni nyingi za mabasi zilifilisika.

Hongera Samia kwa kuanza kutujaza utajiri, wale wengine walitaka tuwe masikini na wanyonge
Acheni ujinga watu wanatumia viwanda vyetu kukopea mikopo kwenye mabanki
 
Ni kweli mkuu zamani ilikuwa hivo kabla ya 2012.
Alishindwa kusoma alama za nyakati akawa bado anatumia zile scania siti 2*3,BM akaingia hiyo route na Youtong za 2*2 wajanja wakaanza kuchepuka.

Lakini bado Abood akaendelea kusumbua,BM akaingiza Zhongtong climber 2*2 full AC na fitna ya kuondoa gari kila nusu saa iwe imejaa au haijajaa. Hapo sasa Abood akawa kapatikana ikabidi na yeye aingize Youtong lakini alikuwa kachelewa maana BM tayari ameshajijengea ile legacy ya kuwa na abiria wake permanent.

Kimsingi bado Abood anatoa gari nyingi kwa Siku hiyo route ya Dar -Moro lakini lakini amepokonywa ile monopoly yake na BM
Mhh una uhakika?
 
Back
Top Bottom