Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Taasisi ya kiintelijensia ya uingereza ilifanya utafiti kuhusu watu wanaofaa kuwa viongozi na wenye IQ,Tanganyika, wa morogoro walionekana ni hovyo kabisa, wakapewa kazi ya kukata mkonge
Najua umeongea tu katika ule muktadha wa matani ya ukabila.

Ila jaribu kwenda kule Tanga wilaya ya muheza na korogwe kaulize wakataji wa mikonge ni watu wa wapi ndio utajua kazi za wabara zilikuwa nini enzi hizo.
 
Kiboko yake kafariki. Magu alikuwa anamchamba Nassoro Abood anavyotaka. Ikiwemo lile la kutoa mabasi kupeleka watu misibani huku viwanda kaua.
Alikua ana mchambaaa ila kwenye ubunge anapitisha jina lake ili agombee.na anahakikisha ametangazwa mshindi hata kwa mtutu wa bundukii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Akili ya mwendazake banaaa
 
Watu mnaopenda kulakula bana dah....3 hrs journey unalilia bites...usikute naongea na under18 hapa
 
Alikua ana mchambaaa ila kwenye ubunge anapitisha jina lake ili agombee.na anahakikisha ametangazwa mshindi hata kwa mtutu wa bundukii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Akili ya mwendazake banaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule Mungu katuepusha na balaa kubwa sana kumtoa hapa duniani.
 
Watu mnaopenda kulakula bana dah....3 hrs journey unalilia bites...usikute naongea na under18 hapa
Hamna, ni suala la uwezo wa kutafakari tu. Kuna watu pengine kwa mchango wa vinasaba au mazingira, uwezo wao ni mdogo sana wa kutafakari. Shida yao kubwa ni kule kudhani vile anavyoishi ndiyo ulimwengu ulivyo.Asijue maisha ni complex.

Bahati mbaya umri hauwaruhusu kujifunza tena.
 
Zakaria kwisha habari yake
Usije kumuweka tena[emoji38].
Msukuma naye hakuna alipoteka[emoji38]

Maelezo mengine uko sawa[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…