Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Unasema mchina hana siti comfortability

Ivi ulishawahi kupanda shabiby yenye 2*1 au tahmeed ya dar nairobi yenye 2*1....

Siti unazotaka wewe ni maamuzi yako kuwaambia wachina nataka siti za basi langu ziwe ivi....
Hizo unazozungumzia wewe ni exceptional, nazungumziz hizi 2*2
 
Nimepanda zote shabbily 2.x1 na hiyo tahmeed yenye tv kila seat. Ni za hovyo tu mkuu amini nakwambia
Greyhounds South africa hawana configuration ya 2x1 , ila wana seat inclination ya 150degrees !! Your average flat mattress is 180 degrees
images.jpg
images%20(1).jpg
 
Hizo unazozungumzia wewe ni exceptional, nazungumziz hizi 2*2
Hata hizo exeptional 2 by 1 bado ni garbage in terms of luxury busses , basi ikishakuwq na leaf suspension haiwezi kuwa luxury , ni vile tu watanzania hatujui vitu.
 
Hivi newforce ni scania au yutong?
Tulikuwa pale chalinze tunakuja dar na marcopolo alitupita kama tumesimama na hatukumuona tena.
Mbio za basi siku hizi hazitegemei uwezo wa engine au umahiri wa dereva !!!
Just how deep your boss pocket is ! Tajiri wa basi akishakuwa na pesa ya kuhonga latra , basi lake litayapita mabasi yote na hata kama basi ni ngalangala.
 
nakubaliana na wewe kabisa.
Nimepanda basi la kampuni kubwa tu wamepakia abiria wengine wamekalia ndoo na hawana wasiwasi na trafiki kabisa.
 
Back
Top Bottom