Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Nakuelimisha Tu Rafiki Sia lodges (Guest) zilikua karibia Morogoro mjini yote!!...Tena nakuelimisha zaidi Sia Motors ndio alikua anatoa vibali vya kusafirisha Tumbaku kutoka Tabora na Morogoro kwenda Bandari Dar es salaam,Tena ndio alikua anafanya matengenezo ya Gari za serikali na mashirika yake 80% mkoa wote wa Morogoro!!
Mi sijabisha nimesema huyo mzee atakuwa na mpunga sana sasa hivi
 
Nakuelimisha Tu Rafiki Sia lodges (Guest) zilikua karibia Morogoro mjini yote!!...Tena nakuelimisha zaidi Sia Motors ndio alikua anatoa vibali vya kusafirisha Tumbaku kutoka Tabora na Morogoro kwenda Bandari Dar es salaam,Tena ndio alikua anafanya matengenezo ya Gari za serikali na mashirika yake 80% mkoa wote wa Morogoro!!
Alooo

Fungua kampun ya usafirishaj basi
 
Hii ilikua historia Tu!!.. Biashara ya Usafirishaji ni Nzuri ukiwa na Nguvu (usimamizi)...Mimi binafsi nimefanya Town trip Bandari ya salama na biashara ya Daladala ni pasua kichwa!!..
Nilifikiri town trip ina faida zaidi japo sijawahi kuijua undani wake..

Hebu nipe A B C kuhusu trip town, labda kwa kuanzia mtu aanze na gari ngapi, uendeshaji wake ukoje na vitu kama hivyo..

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Ni nani huyo? Kuna siku korogwe Tanga asubuh nikadamkia mombo, mtu niliekua nakutana nae kwa bahati mbaya akachelewa nikaa kwenye kiosk nikawa namsubiri, zilipita bus 13 za Esther hadi mda naondoka, za kwenda na kurud

Hapo hapo bado zipo za kiomboi huku

Muda uliotumika vs Success n mfupi mno

I think aliwakuta Marangu, Extra Luxury , hata Tilisho pia. Ila kakua kwa speed ya umeme
Ana basi 12 iyo ruti
Kama zilizidi itakua december iyo
 
Mchina hana confotability, siti ndogo mno na ukiegemea hupati raha yoyote, basi lina siti nyingi mno kwahiyo zipo karibu karibu zinaumiza miguu, sasa usiombe uwe mnene hizo siti ni changamoto,
Unasema mchina hana siti comfortability

Ivi ulishawahi kupanda shabiby yenye 2*1 au tahmeed ya dar nairobi yenye 2*1....

Siti unazotaka wewe ni maamuzi yako kuwaambia wachina nataka siti za basi langu ziwe ivi....
 
Back
Top Bottom