t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Abood amekiwa favoured na lovation ya biashara zake . Dar moro ni safari ya masaa matatu tu , basi moja inaeza kufanya trip moja tu ya nenda rudi ,Uimara wa gari ni matunzo yako tuu kwani abood ameanza rasmi kutumia yutong 2014 na zinapiga kazi hadi kesho na zipo vizuri na huikuti njiani imefeli
Youtong haina uimara wa kuunguruma masaa 12 plus kwa siku , kwa miaka 2 mfululizo , ndo sababu hata yeye abood hazipeleki mbali gari zake .