Hizo unazozungumzia wewe ni exceptional, nazungumziz hizi 2*2Unasema mchina hana siti comfortability
Ivi ulishawahi kupanda shabiby yenye 2*1 au tahmeed ya dar nairobi yenye 2*1....
Siti unazotaka wewe ni maamuzi yako kuwaambia wachina nataka siti za basi langu ziwe ivi....
Nimepanda zote shabbily 2.x1 na hiyo tahmeed yenye tv kila seat. Ni za hovyo tu mkuu amini nakwambiaUnasema mchina hana siti comfortability
Ivi ulishawahi kupanda shabiby yenye 2*1 au tahmeed ya dar nairobi yenye 2*1....
Siti unazotaka wewe ni maamuzi yako kuwaambia wachina nataka siti za basi langu ziwe ivi....
Hata hizo exeptional 2 by 1 bado ni garbage in terms of luxury busses , basi ikishakuwq na leaf suspension haiwezi kuwa luxury , ni vile tu watanzania hatujui vitu.Hizo unazozungumzia wewe ni exceptional, nazungumziz hizi 2*2
Mbio za basi siku hizi hazitegemei uwezo wa engine au umahiri wa dereva !!!Hivi newforce ni scania au yutong?
Tulikuwa pale chalinze tunakuja dar na marcopolo alitupita kama tumesimama na hatukumuona tena.
Sasa bus itakua na seat ngap hapa boss?Nimepanda zote shabbily 2.x1 na hiyo tahmeed yenye tv kila seat. Ni za hovyo tu mkuu amini nakwambia
Greyhounds South africa hawana configuration ya 2x1 , ila wana seat inclination ya 150degrees !! Your average flat mattress is 180 degreesView attachment 1982316View attachment 1982318
Zile ni Zhongtong climberHivi newforce ni scania au yutong?
Tulikuwa pale chalinze tunakuja dar na marcopolo alitupita kama tumesimama na hatukumuona tena.
Hata mimi nilitaka kuuliza iviSasa bus itakua na seat ngap hapa boss?
Sasa hapo ndipo sheria za Tanroads zinapokuwa kikwazoSasa bus itakua na seat ngap hapa boss?
HahaHata mimi nilitaka kuuliza ivi
Ngoja tusubirie jibu na nauli asisahau kuweka
nakubaliana na wewe kabisa.Mbio za basi siku hizi hazitegemei uwezo wa engine au umahiri wa dereva !!!
Just how deep your boss pocket is ! Tajiri wa basi akishakuwa na pesa ya kuhonga latra , basi lake litayapita mabasi yote na hata kama basi ni ngalangala.
kmmmmk, itakua DPKalitupita kama tumesimama na hatukumuona tena.
Itakuwa yenyewe manake katupita kama tumesimama na scania yetu ya superfeokmmmmk, itakua DPK
tahmeed 2*1 sio mchina yule mkuuUnasema mchina hana siti comfortability
Ivi ulishawahi kupanda shabiby yenye 2*1 au tahmeed ya dar nairobi yenye 2*1....
Siti unazotaka wewe ni maamuzi yako kuwaambia wachina nataka siti za basi langu ziwe ivi....
We mzee una matatizoKwa sasa Abood ndio ana Basi mengi Dar/Moro!!..Tulikua tunaeleweshana hapa sio kubishana kutokana na Historia!!..
ila route ya mwanza na arusha anapeleka climber hawez peleka hizo scaniaaaJamaa kila uchwao anaongeza routes tu, anaifungua kusiniView attachment 1983849View attachment 1983850View attachment 1983851View attachment 1983852View attachment 1983853