Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Sio "yupo" sema wapo, manake kwa historia hiyo hawa ni second generationNdio Yupo kitambo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio "yupo" sema wapo, manake kwa historia hiyo hawa ni second generationNdio Yupo kitambo sana
Alikua mnafiki sanaa jamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule Mungu katuepusha na balaa kubwa sana kumtoa hapa duniani.
Super Feo anatisha Nyanda ya juu kusini ipi hiyo tena? kule basi linalopendwa na kugombaniwa kwa sasa si SAULI pekeeeWewe acha ubishi aisee Super feo anakuja kua namba Moja Kwenye sekta ya usafirishaji wa abiria nchini huyo jamaa anatisha watu wa nyanda za juu kusini nadhani watakua wananielewa Nini nazungumzia hapa,
Kumbuka
Super feo na Selous ni kampuni ya mtu mmoja Kwa speed anayokuja nayo atakua Hana mpinzani!
Kila Ambacho Jiwe AlimchambaKile kiwanda ndio basi tena
hatuzungumzii kugombaniwa hapa,Bali ni wingi wa mabus hata hivyo Super feo hana ruti ya dar mbeya jamaa anayaelekeza songea na ndio Hana mpinzani miaka nenda Rudi Kama unabisha waulize watani zako kina nyumbi hii bombi hii wakitaka Rudi kwao ruvuma wakitoka daslamu wanarudi Kwa usafiri upi watakwambia!Super Feo anatisha Nyanda ya juu kusini ipi hiyo tena? kule basi linalopendwa na kugombaniwa kwa sasa si SAULI pekeee
Sent from my SM-C7010 using JamiiForums mobile app
Sasa ulichokua unabisha kua Super feo ni moto Wa kuotea mbali ulikua unabisha NiniHana uwezo huo!!...Scania,Benz na Volvo mpya Moja tena za 2020 ni Sawa na Yutong 6 mpya!!
😂😂😂Source: vijiwe vya kahawa
Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood.
View attachment 1972491
Tutafute hela wakuu.
🙄🙄🙄🙄🙄😜😜Hela za masheriti.
Alisikika mwananchi mmoja akiwa anapiga miayo.
Sawa bwasheee nimekupata vema!Yani mtu kutoa Scania 5, Ndugu Dar Express Hana Bus ya kichina hata Moja!!..Dar Express ni mkongwe na huwa anatoa Scania 10/20 Mpya!!... Ukitaka Nenda Scania ukaone Majina yaliyopo kwenye Ubao wao pale!!
ila Kilimanjaro wa moto yule mwamba duuu halafu jamaa bus nyingi muundo wake ni Marcopolo hua nakubali Sana ule uwekezaji mchina atakuja Kwa mbwembwe atapiga Kazi mwaka Mmoja N'goma Inaanza kuchakaa mnyama Scania aliyemkuta ana miaka 10 Bado linadunda na litaendelea tu kukimbiza road mpaka faida ya yutong 100 ijeKuna Kilimanjaro Truck/Express huyu kila siku anatoa Gari 20 Dar es salaam!!...Nenda Moshi, Arusha,Tunduma,Mbeya,Iringa,Manyara,Rombo!!..Anazo Gari za Mizigo na hii ndio ilikua Sawaya (1988-2000)
na ndio maana nikiona muwwkezaji wa mabus anatumia Scania hua namheshimu huyo Kwenye upande wa ukwasi kibongo bongo sio mwenzio maana Kumiliki mnyama Mmoja unaweza rudisha faida ya yutong 10 ndani ya mda mfupi maana zile cost za service na uchakavu hua nadra Sana hivyo hua Kazi Kazi!Kuna Mtei huyu nadhani ni wa kitambo zaidi huyu!!..Alikua na Leyland,Fiat,Benz na Scania wakati huo na Hadi Leo yupo kwenye game!!..
Hua naona mpaka ruti ya mbeya to Arusha huu mziki mchina hauwezi utampa hasara tuKilimanjaro ana basi huko barabarani number A na zinakimbia utadhani ndio mpya ukitaka kuona mpambano wa Tunduma au Mbeya kuja Dar!!!..
Umeona sasa hivi ameanza kufungua Vituo vyake vya Mafuta na Hotel kwenye Route zake zote!!..ila Kilimanjaro wa moto yule mwamba duuu halafu jamaa bus nyingi muundo wake ni Marcopolo hua nakubali Sana ule uwekezaji mchina atakuja Kwa mbwembwe atapiga Kazi mwaka Mmoja N'goma Inaanza kuchakaa mnyama Scania aliyemkuta ana miaka 10 Bado linadunda na litaendelea tu kukimbiza road mpaka faida ya yutong 100 ije
Hahahahaaah!
Hana uwezo huo!!...Scania,Benz na Volvo mpya Moja tena za 2020 ni Sawa na Yutong 6 mpya!!
hahahahaha tabu mchina Kila mwaka unakongoroka na kula gereji ndefu ataanza kula shots za kufa raia labda awe anabadilisha Kwa muda maalum na kuleta mpya!Abood naona kaamua kuingia Kwa wachina kukimbizana na BM
Noma Sana!We jamaa acha utani basi unadhani anashindwa kununua hizo gari?
Cheki hizo kanunua mpya G7 hizo sio gemilang ***** kwa ajili ya Arusha na Mwanza.
View attachment 1974000
Super Feo anatisha Nyanda ya juu kusini ipi hiyo tena? kule basi linalopendwa na kugombaniwa kwa sasa si SAULI pekeee
Sent from my SM-C7010 using JamiiForums mobile app
Kilimanjaro anajua kutunza gari cheki zile za Tunduma namba B lakini ziko vizuri kweli.ila Kilimanjaro wa moto yule mwamba duuu halafu jamaa bus nyingi muundo wake ni Marcopolo hua nakubali Sana ule uwekezaji mchina atakuja Kwa mbwembwe atapiga Kazi mwaka Mmoja N'goma Inaanza kuchakaa mnyama Scania aliyemkuta ana miaka 10 Bado linadunda na litaendelea tu kukimbiza road mpaka faida ya yutong 100 ije
Hahahahaaah!