Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Nimesoma abood na bus 300 za dar moro
Hii njia ndo tuseme ina abiria wengi hivyo
Bus 300 za abood bado bm al saedy etc duuuh
Doooh udaku uendelee tu hakuna namna
Tgif 🍺🍺🍺🍺
 
takataka za mchina hazina ishu yaani zile ni luxury ila hasara tupu ndani ya Mwaka mmoja limekongoloka Kama Malaya wa buguruni na wakati lilichukuliwa jipya km 0 Toka kiwandani Sasa ndio biashara Gani hiyo!
Watu wanaenda na mahesabu mkuu. Mfano Abood alikuwa na mabasi ya scania tupu tena ni Marco Polo. Kisha akaagiza mabasi ya kichina kadhaa ambayo ndiyo aliyonayo mpaka sasa kabla haya mapya. Hivyo mpaka kuamua kuagiza mengine 20 maanake ameshapiga hesabu kuwa mpaka yakichakaa yameshamlipa.

Kingine anachofanikiwa Abood kwenye hili game ni utunzaji wa magari yake. Ndio mtu pekee mkongwe aliyebakia kwenye hii biashara ya mabasi wengine wameshasanda muda tu.
 
Sema Ukongwe wa Dar/Moro....Huyo Abood njia zingine hajulikani kabisa!!.
 
Watu wanaenda na mahesabu mkuu. Mfano Abood alikuwa na mabasi ya scania tupu tena ni Marco Polo. Kisha akaagiza mabasi ya kichina kadhaa ambayo ndiyo aliyonayo mpaka sasa kabla haya mapya. Hivyo mpaka kuamua kuagiza mengine 20 maanake ameshapiga hesabu kuwa mpaka yakichakaa yameshamlipa.

Kingine anachofanikiwa Abood kwenye hili game ni utunzaji wa magari yake. Ndio mtu pekee mkongwe aliyebakia kwenye hii biashara ya mabasi wengine wameshasanda muda tu.
Huko Tunduma,Mbeya,Iringa hata hapo Turiani au Dodoma Abood kama basi za kawaida!!
 
Hana uwezo huo!!...Scania,Benz na Volvo mpya Moja tena za 2020 ni Sawa na Yutong 6 mpya!!
Kwa mfano yutong mpya bei ya dukani ni millioni 300,kwa hiyo millioni 300×6=1.8 billioni ambayo ndio bei ya hayo mabasi uliyoyataja.Kweli inaingia akilini bosi aweke mzigo wote huo kwa basi moja kwa nauli ya elfu 40 hadi elfu 45 kutoka dar hadi mbeya
kwa watu 57/basi moja hapo bado ujatoa mahitaji ya basi+mishahara na kodi za serikali+vibali,jee bosi anabakiwa na bei gani na hilo basi litembee miaka mingapi ndo liludishe pesa ya manunuzi+faida na huyo bosi atakaa miaka mingapi ndio aje kuongeza basi lingine?.Inatakiwa utambue kwamba kampuni ya abood ndo wa kwanza kuleta mabasi ya scania super andare class wakati scandinavia alikuwa anayo andare ya kawaida ivyoivyo abood ndo wa kwanza kuleta mabasi ya yutong f12 plus wengine ndio wakaiga kutoka kwake sasa unaposema hana uwezo huo inabidi uwe na sababu zinazojieleza.
 
Wewe kama hujui kaa kimya!!...Hood ndio mtu wa kwanza kuleta Malcopolo, Andare na Torino zote hizo ni Scania tena Mpya kabisa
Sijakataa,hood alikuwa ana torino na andare za kawaida sio super andare class kama za abood jitahidi kuwa na kumbukumbu pia naomba unichambulie bei ya yutong dukani ni kiasi gani hadi ziwe 6 ndio zinunue scania/benz/volvo moja usitulishe matango pori
 
takataka za mchina hazina ishu yaani zile ni luxury ila hasara tupu ndani ya Mwaka mmoja limekongoloka Kama Malaya wa buguruni na wakati lilichukuliwa jipya km 0 Toka kiwandani Sasa ndio biashara Gani hiyo!
Na nasikia ili irudishe pesa inabidi ipige kazi miaka mitatu, baada ya hapo ndio faida inaanza.
Ni kwa mujibu wa mmiliki wa mabasi marehemu Sumry
 
Sijakataa,hood alikuwa ana torino na andare za kawaida sio super andare class kama za abood jitahidi kuwa na kumbukumbu pia naomba unichambulie bei ya yutong dukani ni kiasi gani hadi ziwe 6 ndio zinunue scania/benz/volvo moja usitulishe matango pori
Nimecheka kwakweli Yani Yutong,Zhong nini sijue Golden Dragon, 6 ndio Una mpata huyu Mnyama nenda Kwa Super Feo umuulize vizuri F 360 Scania Amepata Kwa bei gani!!.. Scania wanakuuzia Chassis alafu wanakwambia unataka body Gani?!!..Super feo unaweza kukuta hizo 6 ni Basi 30 za Mchina (Abood).
20211014_232811.jpg
 
Back
Top Bottom