TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kwa hiyo SGR reli DSM mpaka MORO kwa heri!? Tuna shida sana sisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli ila inahitaji moyo na uwe na mtaji mkubwa na akili ya biashara Hivi Hivi duuu wengi hua wanaishia kula hasara tu!Kupata washirika ni uamuzi wako mbona tuna wajua wengi wamesimama wenyewe!!..
Dar express ana zhongtong nne je huyu ni mchina au msweden.....Yani mtu kutoa Scania 5, Ndugu Dar Express Hana Bus ya kichina hata Moja!!..Dar Express ni mkongwe na huwa anatoa Scania 10/20 Mpya!!... Ukitaka Nenda Scania ukaone Majina yaliyopo kwenye Ubao wao pale!!
Watu wanaenda na mahesabu mkuu. Mfano Abood alikuwa na mabasi ya scania tupu tena ni Marco Polo. Kisha akaagiza mabasi ya kichina kadhaa ambayo ndiyo aliyonayo mpaka sasa kabla haya mapya. Hivyo mpaka kuamua kuagiza mengine 20 maanake ameshapiga hesabu kuwa mpaka yakichakaa yameshamlipa.takataka za mchina hazina ishu yaani zile ni luxury ila hasara tupu ndani ya Mwaka mmoja limekongoloka Kama Malaya wa buguruni na wakati lilichukuliwa jipya km 0 Toka kiwandani Sasa ndio biashara Gani hiyo!
Sema Ukongwe wa Dar/Moro....Huyo Abood njia zingine hajulikani kabisa!!.Watu wanaenda na mahesabu mkuu. Mfano Abood alikuwa na mabasi ya scania tupu tena ni Marco Polo. Kisha akaagiza mabasi ya kichina kadhaa ambayo ndiyo aliyonayo mpaka sasa kabla haya mapya. Hivyo mpaka kuamua kuagiza mengine 20 maanake ameshapiga hesabu kuwa mpaka yakichakaa yameshamlipa.
Kingine anachofanikiwa Abood kwenye hili game ni utunzaji wa magari yake. Ndio mtu pekee mkongwe aliyebakia kwenye hii biashara ya mabasi wengine wameshasanda muda tu.
Huko Tunduma,Mbeya,Iringa hata hapo Turiani au Dodoma Abood kama basi za kawaida!!Watu wanaenda na mahesabu mkuu. Mfano Abood alikuwa na mabasi ya scania tupu tena ni Marco Polo. Kisha akaagiza mabasi ya kichina kadhaa ambayo ndiyo aliyonayo mpaka sasa kabla haya mapya. Hivyo mpaka kuamua kuagiza mengine 20 maanake ameshapiga hesabu kuwa mpaka yakichakaa yameshamlipa.
Kingine anachofanikiwa Abood kwenye hili game ni utunzaji wa magari yake. Ndio mtu pekee mkongwe aliyebakia kwenye hii biashara ya mabasi wengine wameshasanda muda tu.
Sijasemea ukongwe wa kujulikana bali ukongwe wa biashara ya usafirishaji wa abiria mkuu.Sema Ukongwe wa Dar/Moro....Huyo Abood njia zingine hajulikani kabisa!!.
Mwendazake alimjambisha sanaKile kiwanda ndio basi tena
Kwa mfano yutong mpya bei ya dukani ni millioni 300,kwa hiyo millioni 300×6=1.8 billioni ambayo ndio bei ya hayo mabasi uliyoyataja.Kweli inaingia akilini bosi aweke mzigo wote huo kwa basi moja kwa nauli ya elfu 40 hadi elfu 45 kutoka dar hadi mbeyaHana uwezo huo!!...Scania,Benz na Volvo mpya Moja tena za 2020 ni Sawa na Yutong 6 mpya!!
Sijakataa,hood alikuwa ana torino na andare za kawaida sio super andare class kama za abood jitahidi kuwa na kumbukumbu pia naomba unichambulie bei ya yutong dukani ni kiasi gani hadi ziwe 6 ndio zinunue scania/benz/volvo moja usitulishe matango poriWewe kama hujui kaa kimya!!...Hood ndio mtu wa kwanza kuleta Malcopolo, Andare na Torino zote hizo ni Scania tena Mpya kabisa
Miaka ya juzi tu hapa kama sio 2005 alikuwa hadi na coaster za njombe-songeaKuna Watanzania wakiamua kutoa basi zao huko barabarani hazitoshi!!.. Super Feo alianza kama utani vile!!
Na nasikia ili irudishe pesa inabidi ipige kazi miaka mitatu, baada ya hapo ndio faida inaanza.takataka za mchina hazina ishu yaani zile ni luxury ila hasara tupu ndani ya Mwaka mmoja limekongoloka Kama Malaya wa buguruni na wakati lilichukuliwa jipya km 0 Toka kiwandani Sasa ndio biashara Gani hiyo!
Imani, Upendo na MiujizaAsee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood.
View attachment 1972491
Tutafute hela wakuu.
Nimecheka kwakweli Yani Yutong,Zhong nini sijue Golden Dragon, 6 ndio Una mpata huyu Mnyama nenda Kwa Super Feo umuulize vizuri F 360 Scania Amepata Kwa bei gani!!.. Scania wanakuuzia Chassis alafu wanakwambia unataka body Gani?!!..Super feo unaweza kukuta hizo 6 ni Basi 30 za Mchina (Abood).Sijakataa,hood alikuwa ana torino na andare za kawaida sio super andare class kama za abood jitahidi kuwa na kumbukumbu pia naomba unichambulie bei ya yutong dukani ni kiasi gani hadi ziwe 6 ndio zinunue scania/benz/volvo moja usitulishe matango pori
Mzumbe kivipi?Hamieni tu Mzumbe
Ungemwambia atafute jf yake, kazi kuchangia ya mwanaume mwenzake.Hata wewe tafuta pesa utasifiwa kama sio na mkeo basi kwenye vijiwe vya Alkasusu
Mbona wewe umejiunga jf ya mwanaume mwenzako hujaanzisha yako?!Kazi yenu kusifia wanaume wengine, tengeneza vyako ujisifie.