Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Kwa mfano yutong mpya bei ya dukani ni millioni 300,kwa hiyo millioni 300×6=1.8 billioni ambayo ndio bei ya hayo mabasi uliyoyataja.Kweli inaingia akilini bosi aweke mzigo wote huo kwa basi moja kwa nauli ya elfu 40 hadi elfu 45 kutoka dar hadi mbeya
kwa watu 57/basi moja hapo bado ujatoa mahitaji ya basi+mishahara na kodi za serikali+vibali,jee bosi anabakiwa na bei gani na hilo basi litembee miaka mingapi ndo liludishe pesa ya manunuzi+faida na huyo bosi atakaa miaka mingapi ndio aje kuongeza basi lingine?.Inatakiwa utambue kwamba kampuni ya abood ndo wa kwanza kuleta mabasi ya scania super andare class wakati scandinavia alikuwa anayo andare ya kawaida ivyoivyo abood ndo wa kwanza kuleta mabasi ya yutong f12 plus wengine ndio wakaiga kutoka kwake sasa unaposema hana uwezo huo inabidi uwe na sababu zinazojieleza.
Mi najua agent wa kwanza wa yutong nchini ni metro tena alikuja zingua mwenyewe wakawa wanayauza wenyewe from china....

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
na ndio maana nikiona muwwkezaji wa mabus anatumia Scania hua namheshimu huyo Kwenye upande wa ukwasi kibongo bongo sio mwenzio maana Kumiliki mnyama Mmoja unaweza rudisha faida ya yutong 10 ndani ya mda mfupi maana zile cost za service na uchakavu hua nadra Sana hivyo hua Kazi Kazi!
Inategemea scania ipi special bus au hizi za kuunga km za KLM nafikiri unasifu usichokijua bus zake nyingi ni za kuunga unga sio special bus
 
Hata Sauli nampongeza kustick na vyuma vya ukweli yeye hataki mchina hii imewafanya hata matajiri wengine waahtuke...kwa sasa Dar-Mbeya-Tunduma kateka soko huwezi pata tiketi kirahisi ukitaka kusafiri kabla ya siku 1
Usichojua Newforce dar-tunduma zinaenda hadi bus 4 one way wew unasema ameteka soko kwa gari1 hesabu za wapi hizi
 
Kwa faida basi za mchina ndio zinafaida mkuu maana pesa inarudi haraka na faida unatengeneza ....scania kurudisha faida inachukua muda mrefu sana ingawa ndio zinadumu kwa muda mrefu ukilinganisha na mchina
Hii biashara ukiwa nje ni rahisi kusema uwezavyo lkn bus ya kichina kibiashara ni nzuri zaid inakupa faida haraka na kubwa coz running costs ni ndogo
 
Kiboko yake kafariki. Magu alikuwa anamchamba Nassoro Abood anavyotaka. Ikiwemo lile la kutoa mabasi kupeleka watu misibani huku viwanda kaua.
Hauwezi kuwa tajiri kwa kumchukia tajiri,,huyo aliekufa alikua anachukia watu waliofanikiwa maana alikua anatambua wengi hawaabudu watu hovyo.
 
Source: vijiwe vya kahawa
c70be73af643c605ec8ff6654119cb99.jpg
 
Inategemea scania ipi special bus au hizi za kuunga km za KLM nafikiri unasifu usichokijua bus zake nyingi ni za kuunga unga sio special bus
oya arifu gari yoyote Ili iitwe hivyo ni Engine hapa tunazungumzia Engine ya scania achana na Hayo mabody unayachongea tu hata hapo Kenya hiyo Kazi wanaiweza
Hapa tunasifu utendaji wa Kazi
Scania engine Hana mpinzani!
 
Dar express ndio kampuni pekee iliyobaki kutumia mabasi ya scania dar/arusha lakini nae kanyanyua mikono juu amerudi kwenye zhongtong
 
Ndio Ukongwe wa kusafirisha Abiria Kwa Abood ni Morogoro Tu kwengine kashindwa!!
Wewe jamaa unapenda ligi. Embu tumalize mjadala kwa wewe kunitajia watu waliodumu kwenye hii biashara mpaka sasa kwa zaidi ya miaka 20 kwa route yoyote ile Itakuwa ni ujinga kumuongelea mtu kuwa kashindwa kwengine wakati anaendelea kutengeneza pesa mpaka leo kupitia biashara hiyo hiyo. Hiyu ndiye mwenye experience ya hii biashara kuliko watu wengine wote. Unasemaje kashindwa? Kashindwa au kaishafanya upembuzi wake kujua nini anapaswa kufanya katika game. Wamekuja wakina Mohammed trans, Scandinavia, na wengine kibao lakini wameshindwa kuendeleza biashara ndio ujue hii biashara sio nyepesi
 
Kilimanjaro Express,Mtei,shabiby,Dar Express,Tashriff,Najmunisa,Taqwa,Raha Leo,BM,Osaka,kimotco,simba, Champion
Hao wote uliowataja wamemkuta abood tayari yupo kwenye game. Na sina uhakika kama hao uliowataja wamefikisha miaka 20 kwenye game. Mfano Bm ni wa juzi juzi tu hapa kwenye miaka ya elfu mbili na kumi na kitu.
 
Back
Top Bottom