ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Mi najua agent wa kwanza wa yutong nchini ni metro tena alikuja zingua mwenyewe wakawa wanayauza wenyewe from china....Kwa mfano yutong mpya bei ya dukani ni millioni 300,kwa hiyo millioni 300×6=1.8 billioni ambayo ndio bei ya hayo mabasi uliyoyataja.Kweli inaingia akilini bosi aweke mzigo wote huo kwa basi moja kwa nauli ya elfu 40 hadi elfu 45 kutoka dar hadi mbeya
kwa watu 57/basi moja hapo bado ujatoa mahitaji ya basi+mishahara na kodi za serikali+vibali,jee bosi anabakiwa na bei gani na hilo basi litembee miaka mingapi ndo liludishe pesa ya manunuzi+faida na huyo bosi atakaa miaka mingapi ndio aje kuongeza basi lingine?.Inatakiwa utambue kwamba kampuni ya abood ndo wa kwanza kuleta mabasi ya scania super andare class wakati scandinavia alikuwa anayo andare ya kawaida ivyoivyo abood ndo wa kwanza kuleta mabasi ya yutong f12 plus wengine ndio wakaiga kutoka kwake sasa unaposema hana uwezo huo inabidi uwe na sababu zinazojieleza.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app