Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Angalia vizuri hilo basi lenye rangi nyekundu kwenye picha zote mbili🤣Huyu kapatwa na nini😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia vizuri hilo basi lenye rangi nyekundu kwenye picha zote mbili🤣Huyu kapatwa na nini😂😂
zinapishana bus mbili??Acha fix mzee hakuna kampuni bongo yennye bus za abiria zaidi ya mia 3 hizo story za kijiweni tu, abood rout zake nnchi nzima ni.
Dar tunduma.
Dar mbeya.
Dar mwanza.
Moro Arusha.
Dar iringa.
Moro mwanza.
Kote zimapishana bus 2 na Dar Moro hazizidi bus hata 20, mfano abiria wakiwa wengi msamvu inabidi usubiri gari ya kitoka dar ugeuze nayo kama dalaldala .huyo shabiby na new force haziki hizo 300
Juzi Kati Dar express kashusha climber 4 ameshaanza kuingia uchinaniYani mtu kutoa Scania 5, Ndugu Dar Express Hana Bus ya kichina hata Moja!!..Dar Express ni mkongwe na huwa anatoa Scania 10/20 Mpya!!... Ukitaka Nenda Scania ukaone Majina yaliyopo kwenye Ubao wao pale!!
Hela za masheriti.
Alisikika mwananchi mmoja akiwa anapiga miayo.
Magari ya Mwinyi hayo, ma bus ya Mzee Abood hayazidi 8... Kama ilivyo Meridian yalikuwa ya Bazili Mramba alivyo tolewa kafara na kampuni amejifiaHela za masheriti.
Alisikika mwananchi mmoja akiwa anapiga miayo.
Au zuberi wa kitambo sanaNjia ya Mwanza/Dar uliza wafanyabiashara/wanafunzi wa njia hii kuhusu Najmunisa miaka ya 90 huko
Fun fact n kua kampun ya abood imeanza mwaka 1941Magari ya Mwinyi hayo, ma bus ya Mzee Abood hayazidi 8... Kama ilivyo Meridian yalikuwa ya Bazili Mramba alivyo tolewa kafara na kampuni amejifia
Stori za vijiweniMagari ya Mwinyi hayo, ma bus ya Mzee Abood hayazidi 8... Kama ilivyo Meridian yalikuwa ya Bazili Mramba alivyo tolewa kafara na kampuni amejifia
Watu wanaangalia mzunguko wa pesa watu wanajifanya kuyajua ubora wa mabasi kuliko hata hao wafanya biashara wenyewe. Mtu anapiga kelele humu mchina mchina hayafai lakini hao matajiri wananunua hayo hayo na biashara zao zinaenda na kuongeza hizo hizo mchina.Juzi Kati Dar express kashusha climber 4 ameshaanza kuingia uchinani
[emoji3][emoji3][emoji3]Hela za masheriti.
Alisikika mwananchi mmoja akiwa anapiga miayo.
Family owned company ileHata kama ingeanza 1900 kuwa na shares sio Jambo geni au baya!!.. Ukweli ndio hatujui lakini Abood anafanya vizuri kwenye route hii Dar/Moro
vitu ambavyo huvijui ni bora ukae kimya.. GSM ni Mali ya wale waarabu?Fun fact n kua kampun ya abood imeanza mwaka 1941
Mnaokoteza sana habari
Unamfahamu ASAS? unajua wenye share pale? Kazi kweli kweliFamily owned company ile
ASAS kampun ina karibu miaka 100 hukoUnamfahamu ASAS? unajua wenye share pale? Kazi kweli kweli
Wana ile Transfuel aloooMajina Mapya na kuona watu wenye umri mdogo wanaendesha makampuni mengi makubwa ndio inaleta ubishani!!...Asas ni zao la kina Abri hawa Wana magari mengi ya mizigo nadhani wanaweza kuwa kwenye Top 5 Kwa Tanzania!!
ukimaliza kuandika hapa unaenda kula ukoko wa jeroMagari ya Mwinyi hayo, ma bus ya Mzee Abood hayazidi 8... Kama ilivyo Meridian yalikuwa ya Bazili Mramba alivyo tolewa kafara na kampuni amejifia
Dar exp alishawahi kuwa na bus ya kichina! Siikumbuki vizuri ila kama siyo higer ni golden dragonYani mtu kutoa Scania 5, Ndugu Dar Express Hana Bus ya kichina hata Moja!!..Dar Express ni mkongwe na huwa anatoa Scania 10/20 Mpya!!... Ukitaka Nenda Scania ukaone Majina yaliyopo kwenye Ubao wao pale!!
Mchina anachakaa haraka ruti ndefu lakini dar -moro 190kms, yutong inaweza ishi muda mrefu sana bila shida!hahahahaha tabu mchina Kila mwaka unakongoroka na kula gereji ndefu ataanza kula shots za kufa raia labda awe anabadilisha Kwa muda maalum na kuleta mpya!