Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Acha fix mzee hakuna kampuni bongo yennye bus za abiria zaidi ya mia 3 hizo story za kijiweni tu, abood rout zake nnchi nzima ni.
Dar tunduma.
Dar mbeya.
Dar mwanza.
Moro Arusha.
Dar iringa.
Moro mwanza.
Kote zimapishana bus 2 na Dar Moro hazizidi bus hata 20, mfano abiria wakiwa wengi msamvu inabidi usubiri gari ya kitoka dar ugeuze nayo kama dalaldala .huyo shabiby na new force haziki hizo 300
zinapishana bus mbili??
nakataa kwa route ya moro arusha
 
Juzi Kati Dar express kashusha climber 4 ameshaanza kuingia uchinani
Watu wanaangalia mzunguko wa pesa watu wanajifanya kuyajua ubora wa mabasi kuliko hata hao wafanya biashara wenyewe. Mtu anapiga kelele humu mchina mchina hayafai lakini hao matajiri wananunua hayo hayo na biashara zao zinaenda na kuongeza hizo hizo mchina.
 
Fun fact n kua kampun ya abood imeanza mwaka 1941


Mnaokoteza sana habari
vitu ambavyo huvijui ni bora ukae kimya.. GSM ni Mali ya wale waarabu?

na kma imeanzishwa 1941 point yako ni ipi sasa?
 
Majina Mapya na kuona watu wenye umri mdogo wanaendesha makampuni mengi makubwa ndio inaleta ubishani!!...Asas ni zao la kina Abri hawa Wana magari mengi ya mizigo nadhani wanaweza kuwa kwenye Top 5 Kwa Tanzania!!
Wana ile Transfuel alooo


Sijui zinafika buku, [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] huwez kukaa dk 30 sehem yeyote kuanzia Dar hadi tunduma usizione kadhaa, sio au mbili , zaid

Alafu hapo ipo pia ASAS petroleum
 
Back
Top Bottom