Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

Ghana na Nigeria bila kuhonga uitwi timu ya Taifa. Ata Azam ilikua na wachezaji wanaitwa timu ya Taifa kwakua walikua wakijiongeza.
Wachezaji wa utopolo wao hawataki kuhonga?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muaka 28 anajiandaa kwend

Miaka 28 anajiandaa kwenda wapi?
Unaijua miaka ya "peak" ya mpira kwa mchezaji?

Hapo Okrah ndio yupo on fire, ndio maana ukicheki magoli yake anafunga kila style!.
 
Wachezaji wa utopolo wao hawataki kuhonga?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wana hali mbaya sana, nimewaombea siku tatu za mapumziko, lile teke la kitovuni walilopigwa jana linawauma sana...
 
Ligi ikianza tuanze kumshtumu Karia ati Yanga anabebwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…