SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Tuliza kishuzi hichoNdo Mtufunge Sasa Tuone [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza kishuzi hichoNdo Mtufunge Sasa Tuone [emoji23][emoji23][emoji23]
Nasuburi BBC sport watuquote wanamsimbazi kupitia huyu mchezaji wa Ghana🤣🤣🤣Kwaio Simba imesajili chezaji tutakalo liona kombe la Dunia Qatar?
kuna watu wanapresha mtauwa wenzenu mjue!
Tayari mmeshafungwa kisaikolojiaNdo Mtufunge Sasa Tuone [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wiki yote hii Nilikuwa zangu kijijini huko network haikamati kbs,ndy nimerudi leo.
Nasikia yanga tumemsajiri mchezaji anaitwa Joyce,ya kweli haya??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmepigwa kwenye mshonoooo.Tutawafungulia bendi ya taarab muwe mnatuimbia humu jukwaani. Maana muda wote mmekalia vijembe na mipasho tu.
Wachezaji wa utopolo wao hawataki kuhonga?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ghana na Nigeria bila kuhonga uitwi timu ya Taifa. Ata Azam ilikua na wachezaji wanaitwa timu ya Taifa kwakua walikua wakijiongeza.
Hii kali mnooo, ila natamani pia waige na ile ya Bayern.Kuiga design ya jezi sio mbaya, afterall hara Bayern wameiga kutoka kwa PSG na Madrid. Tiktok imekaaje hapo wadau?
Mwaka huu natamani tuwe na jezi kali kuliko za msimu uliopita.
View attachment 2289178
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndyooooootehe,,,tehe[emoji116]View attachment 2289261
Mgosh unaota amka hapo usije ukajikojoleaIle bendi tutaivunja mara tu baada ya kuchukua makombe yote mfululizo kwa miaka 10 kuanzia huu msimu uliomalizika.
ChattleMuaka 28 anajiandaa kwend
Miaka 28 anajiandaa kwenda wapi?
Ligi ikianza tuanze kumshtumu Karia ati Yanga anabebwaNamaanisha kwenye mshono kweli.
Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.
Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.
Hivi uto mnanielewa?
Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.
Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta mabange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na nyie msiojielewa?!
Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..