Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Hebu tulia kwanza kunywa maji halafu uandike kinachoekeweka. Hujui humu JF karibia 25% wako nje ya TZ sasa unapoleta taarifa hakikisha imekamilika na inaeleweka
 
Kumbe hujui lolote kuhusu protocal za usalama.

HAKUNA TUKIO LA KUSTUKIZA.

Kila anayekutana naye na atakayeshikana naye mikono anafahamika kabla ya kukutana na raisi.

Wanafanyiwa screening ya kutosha.Rejea usalama wa magufuli, pale aliposajili laini kwa alama ya vidole, unaambiwa siku 1 kabla ya magufuli kufika usalama walifika pale kufanya screening nenda yutube kacheki hyo video

Halafu kwa taarifa yako yule mama anamfahamu. yule mama alikuwa mtangazaji a kwanza mwanamke bi hadija.

Kabla ya hapo alishawahi kukutana na samia sehemu kadha wa kadha,
 
Umeharibu uzi wangu graaahhhhhhh! Hivi hiyo nguo aliyovaa je kama asubuhi imewekewa dawa za kumdhuru rais, nyamaza kabisa.
 
Nae na mtu kama watu wengine tu, akiwa na watu wake wa karibu huwezi kuamini kama ni rais hata
 
Kumbe hujui lolote kuhusu protocal za usalama.

HAKUNA TUKIO LA KUSTUKIZA.

Kila anayekutana naye na atakayeshikana naye mikono anafahamika kabla ya kukutana na raisi.

Wanafanyiwa screening ya kutosha.Rejea usalama wa magufuli, pale aliposajili laini kwa alama ya vidole, unaambiwa siku 1 kabla ya magufuli kufika usalama walifika pale kufanya screening nenda yutube kacheki hyo video

Halafu kwa taarifa yako yule mama anamfahamu. yule mama alikuwa mtangazaji a kwanza mwanamke bi hadija.

Kabla ya hapo alishawahi kukutana na samia sehemu kadha wa kadha,

This case is closed.....Boma Liwanza.
 
Umeharibu uzi wangu graaahhhhhhh! Hivi hiyo nguo aliyovaa je kama asubuhi imewekewa dawa za kumdhuru rais, nyamaza kabisa.

Unajua nini kuhusu inner cycle na outer cycle ya walinzi wa raisi. unajua kazi ya wale 14 wa inner cycle???

Pumbavu wewe.

Kama unaona ni rahisi kumdhuru raisi nenda kajaribu. Peleka mattacol yako ukaone.

Huna unachokijuaa Jinga
 
Back
Top Bottom