Kumbe hujui lolote kuhusu protocal za usalama.
HAKUNA TUKIO LA KUSTUKIZA.
Kila anayekutana naye na atakayeshikana naye mikono anafahamika kabla ya kukutana na raisi.
Wanafanyiwa screening ya kutosha.Rejea usalama wa magufuli, pale aliposajili laini kwa alama ya vidole, unaambiwa siku 1 kabla ya magufuli kufika usalama walifika pale kufanya screening nenda yutube kacheki hyo video
Halafu kwa taarifa yako yule mama anamfahamu. yule mama alikuwa mtangazaji a kwanza mwanamke bi hadija.
Kabla ya hapo alishawahi kukutana na samia sehemu kadha wa kadha,