Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Huyo si raia wa kawaida kama unavyofikiri,ni kitengo na wamejirdhisha, kalaghabaho, umesahau hayati Magufuli na wachoma mahindi, wauza kahawa?
 
Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Yeye ni binadamu huwezi kuzuia hisia zake
 
Nimeshangaa sana hakuna picha wala video halafu uzi kama huu unadumu na kufika page ya pili.
 
Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
kwanza taarifa yako umeandika kiudaku, hata haieleweki ni hadi mtu aunge unge
  • Hatujui huko Azam kulikuwa na nini na ilifanyika ndani ya ukumbi au nje?
  • Aliyemsalimia alikuwa nani? historia yake kidogo
  • Tukio lilikuwa limeratibiwaje? nk
Mwisho wa siku Rais ni mwananchi, sio kumchukulia kama kiumbe flani ambacho hakigusiki.
Tahadhari hutegemea mambo mengi namaanisha sio kila mahala na kila wakati usalama/tahadhari hufanana. Kuna mahali unakuwa wa juu sana na mahali pengine kawaida tu hata kula chips uraiani poa tu.
Wakifanya unavyofikiri huyo Raisi si atakuwa kama mfungwa aliyeko gereza la Keko
 
Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.

Hamna shida nilikuwepo kwanza pale amani amani maana walikutana wote wa "nyumbani"
Mbona sijakuona mkuu wee ulikuwa wapi
 
Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Kwamba una maana rais hakumbatiwi au hebu tulia tueleze vizuri maana tunajua ana mume na watoto, ndugu na jamaa.
Au ndio kama propesa majalala alivyo muita mungu mtu.
 
Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.

Acha uchawa ufanye vitu vya maana kama mama hatakukumbatia na ww
 
Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Mwenyezi Mungu pekee ndiye mlinzi. Kwani Nyerere alikumbatiwa na nani?
Mkapa je?
Magufuli?
Mtumainie Mungu. Yule ni Malaika tu
 
Back
Top Bottom