Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.

Wewe Ulitaka akumbatiane na nani??
 
Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.

Yule Raia tangu juzi alikuwa anafanya mazoez ya kukumbatia na kuambiwa sehemu za kuweka mikono yake

Hakuna Jambo jipya pale, Yale yote uliyoyaona walishafanyia mazoez

So worry not
 
Watu wenye mitazamo ya kijamaa humuona rais kama Mungu.
 
Yule Raia tangu juzi alikuwa anafanya mazoez ya kukumbatia na kuambiwa sehemu za kuweka mikono yake

Hakuna Jambo jipya pale, Yale yote uliyoyaona walishafanyia mazoez

So worry not

Mke wa mt•
 
Wewe acha tu wewe yaani ulinzi huo ni balaa.
 
Kumbe hujui lolote kuhusu protocal za usalama.

HAKUNA TUKIO LA KUSTUKIZA.

Kila anayekutana naye na atakayeshikana naye mikono anafahamika kabla ya kukutana na raisi.

Wanafanyiwa screening ya kutosha.Rejea usalama wa magufuli, pale aliposajili laini kwa alama ya vidole, unaambiwa siku 1 kabla ya magufuli kufika usalama walifika pale kufanya screening nenda yutube kacheki hyo video

Halafu kwa taarifa yako yule mama anamfahamu. yule mama alikuwa mtangazaji a kwanza mwanamke bi hadija.

Kabla ya hapo alishawahi kukutana na samia sehemu kadha wa kadha,
Kahawa tu hizi na movie
 
Unajua nini kuhusu inner cycle na outer cycle ya walinzi wa raisi. unajua kazi ya wale 14 wa inner cycle???

Pumbavu wewe.

Kama unaona ni rahisi kumdhuru raisi nenda kajaribu. Peleka mattacol yako ukaone.

Huna unachokijuaa Jinga
Endelea kumwaga somo
 
Somo la Protocal ni muhim kwa wa Tz
 
Kahawa tu hizi na movie

kahawa kivipi?

Mbona video iko yutube. Kama bando ni shida kwako sema tukutumie GB 3 uicheki na siyo kubwabwaja hapa.

Nimefuatilia taasisi na mashirika ya usalama na ulinz wa maraisi na viongozi mbalimbali.

Hakuna kitu kipya .Everything is planned.
 
Hivi kuna mwenye dukuduku na Mama hata atake kumdhuru?

Ndio raha ya kutenda haki
 
kahawa kivipi?

Mbona video iko yutube. Kama bando ni shida kwako sema tukutumie GB 3 uicheki na siyo kubwabwaja hapa.

Nimefuatilia taasisi na mashirika ya usalama na ulinz wa maraisi na viongozi mbalimbali.

Hakuna kitu kipya .Everything is planned.
Nakwambia ni Kahawa tu mzee we endelea kufuatilia madocumentary
 
Hiyo clip iko wapi?

Downtown kitambo Le mbebez at 5 star hotel you know.
 
Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Unajiitaje Chawa! Yaani mimi mtu akishajiita ujinga kama huo, hata kama kaandika points huwa namdharau yeye mwenyewe na alichokiandika
 
Unajua nini kuhusu inner cycle na outer cycle ya walinzi wa raisi. unajua kazi ya wale 14 wa inner cycle???

Pumbavu wewe.

Kama unaona ni rahisi kumdhuru raisi nenda kajaribu. Peleka mattacol yako ukaone.

Huna unachokijuaa Jinga
Bongo ni uoga tu…lakini mtu akiamua kumuua raisi ni rahisi sana., shida ipo tu kwamba kama wewe sio part ya kundi lenye madaraka la kukutetea au kukuficha (eg. msoga gang)ni lazima utajulikana na ngumu kutoroka
 
Great thinkers,

Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Kwamba Rais sio binadamu wa kawaida??
Kwamba watu hawakujiandaa kwa hilo??
Wenye usalama wanajua wanachoruhusu na kukataza..
 
Back
Top Bottom