Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

Post in thread 'Camouflagers na informers ' Camouflagers na informers
 
Unajua nini kuhusu inner cycle na outer cycle ya walinzi wa raisi. unajua kazi ya wale 14 wa inner cycle???

Pumbavu wewe.

Kama unaona ni rahisi kumdhuru raisi nenda kajaribu. Peleka mattacol yako ukaone.

Huna unachokijuaa Jinga
Watu mmejaa stress sana.
 
Unajua nini kuhusu inner cycle na outer cycle ya walinzi wa raisi. unajua kazi ya wale 14 wa inner cycle???

Pumbavu wewe.

Kama unaona ni rahisi kumdhuru raisi nenda kajaribu. Peleka mattacol yako ukaone.

Huna unachokijuaa Jinga
Hahaha
 
Ukiachana na urais mh rais pia ni binadamu ana emotion kama sisi ambao at umonitor wa darasa atujawai kuongoza kwhy nadhani hayo mambo yako ya usalama sijui protocol zinawekwa pembeni linapokuja swala la emotion
nakumbuka kuna picha na video za baba wa taifa akiwa kijijini kwake uko butihama anacheza na wazee bao na kupiga nao story mbili tatu za maisha ni kawaida mkuu
 
Kwamba wali fika na ma kaunda suti yao hadi waka oneshwa YouTube ..[emoji848]
 
Atakuwa na huo ubinaadam baada ya kumaliza kipindi cha urais ila kwa sasa yeye ni muhimu mno kwa taifa letu. Hatutaki awe kwenye risk aina yeyote.
 
Atakuwa na huo ubinaadam baada ya kumaliza kipindi cha urais ila kwa sasa yeye ni muhimu mno kwa taifa letu. Hatutaki awe kwenye risk aina yeyote.
umuhimu wake aimaanishi asishikane na watu mikono ama asikubatie mtu hapana
 
umuhimu wake aimaanishi asishikane na watu mikono ama asikubatie mtu hapana
Hapana sisi chawa wake tunakataa kabisa hali ya sasa ni ngumu maadui wengi. Tunamuhitaji sana tena sana 2025-2035. Maana awamu yake ya kwanza inaanza 2025, ya pili 2030. Ni muhimu alindwe Mama yetu kwa gharama yeyote.
 
Ahsante kwa ufafanuzi wa kina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…