Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Kati yenu Wewe na Lily nani alikuwa mwanaume?
Naona Lily anakulilia hapo sijaelewa dr 😹
 
Rasmi sasa tunapata riwaya za malezbo, kweli dunia inaenda kasi. Grahams hivi ujanani haya yalikuwepo kweli🤣
Mzee mwenzangu, haya mambo enzi zetu hayakwepo.

Vijana wa miaka hii wamezidisha kudinyana, labda Kwa kuwa miaka hii Wanawake wamekuwa rahisi kupatikana.

Mimi nakumbuka wakati wa kumpata Bibi yao, nilimfukuzia miaka 3 pamoja na kuwaomba Wazee wakanisaidie ndiyo kuja kumuoa.

Miaka ya sasa, Vijana wanajisifia unaomba mzigo leo, kesho Mchana unaenda kujilia vya uvunguni 🙌
 
Rasmi sasa tunapata riwaya za malezbo, kweli dunia inaenda kasi. Grahams hivi ujanani haya yalikuwepo kweli🤣
Usikute yalikuwepo, sema kwa sasa utandawazi umeweka wazi mambo mengi sana..!!!

Kwa mfano, watoto albino tulikuwa tunaambiwa wanatoweka tu wala hawafi, na tuliamini. Lakini kumbe inasemekana walikuwa wanauwawa (unakumbuka evil forest kwenye kitabu cha things fall apart cha Chinuo Achebe?). AU nikuulize, UMEWAHI HUDHURIA MSIBA ANAZIKWA ALBINO????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…